Joh mcCain
Member
- Dec 12, 2014
- 6
- 0
Wakuu habari ya muda....
Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.
Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.
Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....
Karibuni sana!
Wakuu naomba msaada WA jinsi ya kuapply scholarship kwa ajili ya medicine nchi yoyote ambayo maisha yake sio ya juu sana namaliza form 6 2018 mwezi WA tano