Seneta Mandago akamatwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 19.13 za Ufadhili wa Masomo ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Seneta Jackson Mandago na Watu wengine 3 wanakabiliwa na Mashtaka 11, ikiwa ni pamoja na Wizi na matumizi mabaya ya ofisi. Anatuhumiwa kushiriki katika njama ya kuiba Ksh. Bilioni 1.1, sawa na Tsh. Bilioni 19.13 ambazo zilikusudiwa kugharamia elimu ya Vyuo Vikuu kwa Wanafunzi wa Kenya kwenda kusoma nchini Finland na Canada wakati akiwa Gavana

Inadaiwa kuwa Ubadhirifu huo ulisababisha Mamia ya wanafunzi kukwama nchini Kenya, huku wale ambao tayari walikuwa wameshaanza Masomo yao katika Nchi hizo walikuwa hatarini kuwa bila Makazi, Kufukuzwa Shuleni, na Kurejeshwa Nyumbani baada ya Serikali ya Kaunti ya #UasinGishu kusitisha Malipo yao ya gharama za Masomo na Malazi

Aidha, Rais William Ruto ameagiza yeyote anayehusika na ubadhirifu huo kulipa haraka fedha hizo au atakabiliwa na matatizo, huku akiahidi Ufadhili wa Masomo katika Vyuo vya Ndani kwa Waathirika mara baada ya uchunguzi wa suala hilo kukamilika


….................

Jackson Mandago has previously denied misappropriating the funds

Jackson Mandago and three others face 11 charges, including theft and abuse of office.

He is accused of involvement in a racket that allegedly conspired to steal a reported 1.1bn Kenyan shillings ($7.6m; £5.9m) that was meant to fund further education for Kenyan students in Finland and Canada.

Dozens of students who had paid to study abroad allegedly remained stranded in Kenya as a consequence, according to local media reports.

Those who had already joined universities risked homelessness, expulsion and deportation after the county government stopped their payments for accommodation and tuition. The alleged crimes unfolded when Mr Mandago was serving as the governor. Mr Mandago has previously denied misappropriating the money, Kenya's Star paper reports

According to another report he and the current Uasin Gishu county governor had agreed to ensure the victims receive refunds.

President William Ruto has also commented on the matter, ordering whoever is responsible for the scandal to repay the money for the Finland and Canada Overseas Education Programme quickly or face "trouble".

He said that once investigations were finalised he would offer local scholarships to those affected

Source: BBC
 
Back
Top Bottom