Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Nawasalimu wote wadau wa Jamii Forum!! Mimi natafuta Masters Scholarship ya kusomea "Natural Resources Mgt or Environmental Science or Biodiversity & Cobservation". Naomba kwa mwenye kunisaidia pls anitafute kwenye namba +255786224248. Thnx
 
Tembelea tovuti ya chuo cha Nelson Mandela cha arusha, hua wanatoa sana scholarships katika hizo field

nm-aist.ac.tz
 
Back
Top Bottom