Elisha msigwa
Member
- May 24, 2013
- 33
- 7
Jamani nisaidieni scholarship za industrial engineering nchi yeyote except inside Africa
safi sana kakaWale wadau wa masters hii inawahusu, full scholarship kutoka Malaysian government, almost kila field ipo hapo....deadline 30/5/2017...go to the link below for more details
http://www.knb.dikti.go.id/
Nimeambatanisha na pdf copy kwa ajili ya maelezo zaidi.
Best of lucky guys and sorry kwa kuchelewa kuuona huu uzi kulikua na scholarship za Korean Government (KGSP) ila deadline ishapita. In sha allah mwakani tena.
KNB Scholarship Application Guidance
Ukipata za undergraduate fanya kweli uzitupie na hapa mkuu.Wale wadau wa masters hii inawahusu, full scholarship kutoka Malaysian government, almost kila field ipo hapo....deadline 30/5/2017...go to the link below for more details
http://www.knb.dikti.go.id/
Nimeambatanisha na pdf copy kwa ajili ya maelezo zaidi.
Best of lucky guys and sorry kwa kuchelewa kuuona huu uzi kulikua na scholarship za Korean Government (KGSP) ila deadline ishapita. In sha allah mwakani tena.
KNB Scholarship Application Guidance
Wale wadau wa masters hii inawahusu, full scholarship kutoka Malaysian government, almost kila field ipo hapo....deadline 30/5/2017...go to the link below for more details
Kemitraan Negara Berkembang(KNB)-Scholarship
Nimeambatanisha na pdf copy kwa ajili ya maelezo zaidi.
Best of lucky guys and sorry kwa kuchelewa kuuona huu uzi kulikua na scholarship za Korean Government (KGSP) ila deadline ishapita. In sha allah mwakani tena.
KNB Scholarship Application Guidance
N jinsi ngan ya kupata scholarship!?Wakuu habari ya muda....
Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.
Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.
Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....
Karibuni sana!
1. kuwa na sifa zinazokubalika kupata udahili chuoni na ufadhili husikaN jinsi ngan ya kupata scholarship!?
Waweza poa scholaship kwa mbona ya sana!1. kuwa na sifa zinazokubalika kupata udahili chuoni na ufadhili husika
2. kutambua majira ya ufadhili huo wa masomo
3. kujiandaa kuomba kwa kuwa na nyaraka zote stahili
4. kuomba ufadhili