Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

vipi kuhusu scholarship za diploma kwa mwenye kufanya mitihani ya bodi ya KNEC na cheti cha b.admin?kuna uwezekano wa kupata scholarship?
 
shukran mkuu,kwa hyo kwa mfano kama umesomea o level nje hata ukiwa na ufaulu wa kuridhisha,huwezkupata?
Unamaanisha nje ya Tanzania? Kama nje ya Tanzania sidhani kama unaweza kupata hiyo scholarship, maana utaonekana wazazi wako wana uwezo wa kifedha. Unless kama nje ulisoma kwa ufadhili, ambapo itabidi uambatanishe ushahidi.

Hiyo scholarship ina target watu kutoka familia zenye uwezo kidogo. Na ni vigumu sana kudanganya. Maana moja ya application document ni financial questionnaire, ambayo ina maswali lukuki juu ya hali ya kifedha ya mwombaji.
 
shukran mkuu,vp kama nilweza kupata ufadhili kwa mtu wa karibu,bila mzazi kuwepo
 
OK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…