Msingi_Kiuno
Member
- Feb 22, 2017
- 86
- 123
- Thread starter
- #21
kaa mkao wa kulaScholarship za Scandinavian please
kaa mkao wa kulaScholarship za Scandinavian please
GOOGLE:NUFFIC SCHOLARSHIP utakula bata Ulaya ya huko ScandinaviaScholarship za Scandinavian please
zipo... angalia hapo juu zipo za Brunei Durasalam....Hivi na scholarship za kusoma bachelor degree zinapatikana??
Nyuzi kama hizi zinatoa fursa ya kubadilisha maisha ya watu, sio kubishania vyama!Uzi safi sana
Nuffic ni kwa Uholanzi.GOOGLE:NUFFIC SCHOLARSHIP utakula bata Ulaya ya huko Scandinavia
safi sana mkuu.... fursa ziwekwe waziKuna scholarship kwa ajili ya equivalent ya forms 5 na 6 zitolewazo na International School of Tanganyika.
Cheki hapa: International School of Tanganyika: IB Diploma Scholarship
shukran mkuu,kwa hyo kwa mfano kama umesomea o level nje hata ukiwa na ufaulu wa kuridhisha,huwezkupata?Kuna scholarship kwa ajili ya equivalent ya forms 5 na 6 zitolewazo na International School of Tanganyika.
Cheki hapa: International School of Tanganyika: IB Diploma Scholarship
Unamaanisha nje ya Tanzania? Kama nje ya Tanzania sidhani kama unaweza kupata hiyo scholarship, maana utaonekana wazazi wako wana uwezo wa kifedha. Unless kama nje ulisoma kwa ufadhili, ambapo itabidi uambatanishe ushahidi.shukran mkuu,kwa hyo kwa mfano kama umesomea o level nje hata ukiwa na ufaulu wa kuridhisha,huwezkupata?
shukran mkuu,vp kama nilweza kupata ufadhili kwa mtu wa karibu,bila mzazi kuwepoUnamaanisha nje ya Tanzania? Kama nje ya Tanzania sidhani kama unaweza kupata hiyo scholarship, maana utaonekana wazazi wako wana uwezo wa kifedha. Unless kama nje ulisoma kwa ufadhili, ambapo itabidi uambatanishe ushahidi.
Hiyo scholarship ina target watu kutoka familia zenye uwezo kidogo. Na ni vigumu sana kudanganya. Maana moja ya application document ni financial questionnaire, ambayo ina maswali lukuki juu ya hali ya kifedha ya mwombaji.
OKWakuu habari ya muda....
Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.
Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.
Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....
Karibuni sana!