Kivule
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 639
- 662
Mie kwa elimu yangu sio mtu sahihi kwako labda nachoweza kukusaidia ni ninayo recommendation letter moja nilioandikiwa na Mkufunzi wangu wa chuo ni Prof, labda nifute details zake na zangu nkutumie ufanye editingMkuu nimeongea nao wanasema hawapo Eneo la kazi kwa wakati huu wapo sehem zingine kwa kazi wapo busy sana.
Supervisor yupo kasema niandae yeye atasaini tu yupo tayar, Na vipi issue ya reference mkuu. Naweza kuja PM kwako?