Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

NIMO PRDCTZR

Senior Member
Feb 10, 2016
146
225
Kuomba scholarship ni mchakato sio swala la wiki ama mwezi kama uko serious anza sasa kufikia 2021 mwezi wa 6 utakuwa na mwelekeo mzuri

Andaa motivation letter, heath form hapa unapaswa kupimwa na kuanza kinga ya hepatitis A & C
Fanya TOEFL/ Test
Andaa reference letter 2
Andaa Concept Note
Scan document ya vyet vyako
Kuwa na international passport
Scan passport photo
Ukimaliza unaweza kuanza kuapply na kuboresha documents zako kuendana na uhitaji na muda

Kama umewahi kuomba scholarship siku za nyuma ukakosa ni vizuri kwani utakua na uzoefu wa kujibu maswali na unajua exactly nini unataka kusomea unaweza kuwa na GPA kubwa lakini usipate sababu ya poor motivation and research study area
Endelea kuongeza Na vitu vingine vinavyotakiwa ikiwemo na amichakato yake inakuaje........niko hapa naendelea kukusikiliza.....
 
Dr. Wansegamila

Verified Member
Feb 3, 2012
2,024
2,000
Wakuu, kuna hizi Scholarship za Masters zinaitwa "Equity and Merit Scholarships" at the University of Manchester.... Kuna kozi kibao za Masters za hapo University of Manchester kwenye sekta mbalimbali ambazo ziko elligible kwa hii scholarship. Kuna kozi za online na za on campus. Hizi hazihitaji IELTS wala nini; wanachohitaji ni uwe umepata C kwenye English O level; na kigezo kikubwa cha pili ni uwe na uzoefu wa angalau miaka miwili. Hizi scholarship ninkwa ajili ya Watanzania,Waganda, Waethiopia na Wanyarwanda tuu. Ni scholarships nzuri sana. Mimi ni mmojawapo wa wanufaika wa scholarship hizi, Nawa encourage watanzania mu aoply kwa wingi sana.... Yaani kama darasa letu mbongo niko peke yangu,nimezungukwa na Waganda na Waethiopia tuu.. Kama uko interested na unahitaji msaada kwenye application process, nicheki PM (sitakwambia unitumie hata MIA-I will assist u free of charge).
Kucheki elligible courses kwa Watanzania, fungua link International master’s scholarships for Tanzania students | The University of Manchester

Kuapply, fuata link hii Equity & Merit Scholarships: 2021/22 - Application Form

Deadine ni tarehe 31 August
Mkulima Jr NIMO PRDCTZR
66KV Ollachuga Oc
dan87
Turn the other Cheek
dolomon
Bushmamy
 
moj6

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
2,826

Shukran mkuu,,ukipata nyingine tuletee

California love
 
Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,083

Watanzania wenye moyo kama wako ni wachache sana, safi sana mkuu. Pokea kongole zangu mingi kwa hiki ulichofanya.
 
66KV

JF-Expert Member
May 16, 2014
326
500
Wakuu, kuna hizi Scholarship za Masters zinaitwa "Equity and Merit Scholarships" at the University of Manchester.... Kuna kozi kibao za Masters za hapo University of Manchester kwenye sekta mbalimbali ambazo ziko elligible kwa hii scholarship. Kuna kozi za online na za on campus. Hizi hazihitaji IELTS wala nini; wanachohitaji ni uwe umepata C kwenye English O level; na kigezo kikubwa cha pili ni uwe na uzoefu wa angalau miaka miwili. Hizi scholarship ninkwa ajili ya Watanzania,Waganda, Waethiopia na Wanyarwanda tuu. Ni scholarships nzuri sana. Mimi ni mmojawapo wa wanufaika wa scholarship hizi, Nawa encourage watanzania mu aoply kwa wingi sana.... Yaani kama darasa letu mbongo niko peke yangu,nimezungukwa na Waganda na Waethiopia tuu.. Kama uko interested na unahitaji msaada kwenye application process, nicheki PM (sitakwambia unitumie hata MIA-I will assist u free of charge).
Kucheki elligible courses kwa Watanzania, fungua link International master’s scholarships for Tanzania students | The University of Manchester

Kuapply, fuata link hii Equity & Merit Scholarships: 2021/22 - Application Form

Deadine ni tarehe 31 August
Mkulima Jr NIMO PRDCTZR
66KV Ollachuga Oc
dan87
Turn the other Cheek
dolomon
Bushmamy
Umetisha mzee Shukran sanaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom