The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Aisee!! Mkuu bado wewe haujaletewe mchel mchele na mokasiniHongera sana Mkuu na Hongera kwa aliyekunulia kwa kukutunza.
Tena sio uzivae kabla ya Sikuu kuu, uende kucheza na kujigagaraza mchangani na kuzitia madoa ya maembe!
Daaah kumbe hayo ndo mapigo yako eeeh kasahau boxer naileta kesho
iiiii jamani TF maaama,mi baba alisema haninunulii kwa sababu nilifeli mtihani
Mchukulie na soksi tafadhali.Daaah kumbe hayo ndo mapigo yako eeeh kasahau boxer naileta kesho
Daaah kumbe hayo ndo mapigo yako eeeh kasahau boxer naileta kesho
Hivi ile mitihani ya tuisheni kwani ulikuwa unaiweka wapi muonyeshe ile fastaiiiii jamani TF maaama,mi baba alisema haninunulii kwa sababu nilifeli mtihani
Don yaani hapa mshua nisingemuelewa kabisa maana hata Sunday School ningegoma kwenda...:lol:mkuu hongera sana kwa kununuliwa bonge la mtoko,vipi hivi hizo pamba zote ni mtoko mmoja au....manake duh hata sipati picha utapendezaje kiongozi!
Mchukulie na soksi tafadhali.
:lol::lol:usisahau na soksi
Muwahi mshua kabla haijafika tarehe 20Mhhh mambo gani haya sasa ya kuleta tamaa bana
mimi nina miaka mitano sijanunuliwa nguo ya sikukuu halafu wewe unaleta mambo kama haya
Muonyeshe mtihani wa tusheni atabadili msimamo
Muwahi mshua kabla haijafika tarehe 20
Hivi ile mitihani ya tuisheni kwani ulikuwa unaiweka wapi muonyeshe ile fasta