Doli Doli Nimenunuliwa Nguo Ya Sikukuu Na Viatu

Ameshatangaza msimamo wake kuwa hakuna nguo ya sikukuu
Wala pilau halitalika wala hakuna soda siku ya sikukuu
Watu watagula ugali wa mhogo

Mimi mwaka mzima nimekuwa mtoto mbaya. Nimeshaambiwa zawadi/adhabu yangu nitapewa kipolo cha mkaa.
Nyie watukutu sana ndio maana au mzee alikuwa anakugua mitihani yenu ya Kiingereza na Hesabu...:lol:
 
Unantutamanisha bana .......... sie ambao hatujanunuliwa, serikali imechelewesha mishahara, sasa itakula kwetu!!!!!!!!
 
Mi nimesomba mchanga kwa jirani wanajenga, nkipata nanunua jinsi
 
mi nazindua kitu changu kutoka sandukuni. Niliivaa sikukuu iliyopita, sijazivaa tena mpaka tena kwenye sikuu hii ndio nazitinga!
 
mi nazindua kitu changu kutoka sandukuni. Niliivaa sikukuu iliyopita, sijazivaa tena mpaka tena kwenye sikuu hii ndio nazitinga!
Hahahaha!! Wewe kiboko kwahiyo ulivaa kisha ukarudisha kwenye sanduku hadi leo zitakuwa bado zinanukia ule upya wake...:lol:
 
Ameshatangaza msimamo wake kuwa hakuna nguo ya sikukuu
Wala pilau halitalika wala hakuna soda siku ya sikukuu
Watu watagula ugali wa mhogo

Nimejua sababu, nahisi dingi yako imani yake haiendani na hayo mambo. Atakuwa m7to au shahid wa YEHOVA.
 
Black%2Bcashmere%2Bscarf%2Bfrom%2BDsquared2%2Bwith%2Btasselled%2Bedging..jpg




Alexander%2BMcQueen%2BDeconstructed%2BSport%2BJacket.jpg


Hugo%2BBoss%2BPhillo%2BSlim%2BFit%2BFormal%2BShirt1.jpg

Cotton%2Bregular%2Bfit%2Btrouser%2Bwith%2Bfront%2Bslash%2Bpockets%2Band%2Brear%2Bbutton%2Bwelt%2Bpockets..jpg


Lace%2BUp%2BLeather%2BShoes%2BBy%2BMario%2BFagni..jpg

Nguo zako mbayaaaa hazina maua maua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom