Doli Doli Nimenunuliwa Nguo Ya Sikukuu Na Viatu

Doli Doli Nimenunuliwa Nguo Ya Sikukuu Na Viatu

hapa kwa mangi nayaona yapo

kuna mengine yalikuwa yanaitwa Roxy yalikuwa yanatoka Kenya ilikuwa ni kulangua tu.

Hivi haya mafuta bado yapo kweli au na kiwanda kiliishakufa....lol
 
Alafu ina wavaaji wake.... Sio kila mwanaume aweza vaa hio... Lazima uwe qualified in that sector or else disaster! lol
 
Mi sijawa wa 30, nimekuwa wa pili. Ndio unashangaa nini? Nimekuwa wa pili kutoka mwisho
hii inanikumbusha mtt wa jamaa yangu mmoja, alikuwa wa 100 darasani wacha afurahi, eti 100 ni kubwa inanununua pipi akawa anamshangaa alieshika nafasi ya kwanza halafu anafurahi wkt ni ndogo hainunui kitu.
 
Back
Top Bottom