Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp yatajwayo.
Wanawake watakiwa kuwacha wanaume wapumzike kidogo baada ya bao la kwanza, maana mwanaume anatumia nguvu nyingi sawa na damu dumu la lita tano.
Sikuwahi kudhani kua ww ni mdada...nway pole sana kwa kuchafuliwa na mapovu...tujaribu vijana wa kanda ya ziwa utafurahi na roho yako.
Sisi ujana wetu breakfast ni Uji na mihogo au viazi...mchana ugali mixture ya mtama na udaga na kisamvu....na usiku ugali wa dona na mchicha chukuchuku...kifupi tupo fiti