Dokta Ntara: Nguvu za kiume hutibiwa kwa vyakula tu

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
13,660
19,768
"Mwanaume anatumia nguvu, anatoka jasho, na baada ya tendo analala usingizi mzitoo!!"

1622377730035.png

Alisikika akisisitiza kwa hisia kali kama vile yupo uwanjani
 
Tatizo chips, kweli mwanaume unakula chips na vikuku vya elfu sita, alafu mnakuja kutuchafua na mapovu, kweli kabisa. dah
Sikuwahi kudhani kua ww ni mdada...nway pole sana kwa kuchafuliwa na mapovu...tujaribu vijana wa kanda ya ziwa utafurahi na roho yako.
Sisi ujana wetu breakfast ni Uji na mihogo au viazi...mchana ugali mixture ya mtama na udaga na kisamvu....na usiku ugali wa dona na mchicha chukuchuku...kifupi tupo fiti
 
wachache wapo fiti, kiujumla mnahema sana,
 
Dakitari angekuwa ametenda jambo jema zaidi iwapo angetaja vyakula ambavyo mwanaume anapaswa kula ili Mkuyenge ufanye kazi iliyotukuka!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom