Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Umeandika ujinga mzeemakoti
 
Mavazi yasiyo na heshima ni mtizamo wa kijamii, kimini ni vazi lisilo na heshima kwa Waswahili wa bongo ila nchi nyingine nyingi ni vazi la kawaida tu, Magharibi walichukua dini ya Ukristo ila hawakuchukua au kuzingatia sana utamaduni wa Wayahudi au wa mashariki ya kati wa mavazi ya kujifunika ghubighubi, vyakula na usafi. Waislamu walichukua dini ya Uislamu na sehemu kubwa ya utamaduni wa zamani wa mavazi wa baadhi ya jamii za mashariki ya kati na ndio wanalazimisha sana ionekane hayo mavazi ya majuba, niqab, hijab na ushungi ni mavazi ya heshima.

Hata hivyo katika historia ya binadamu kwanza hata binadamu wengi walikuwa hawavai nguo zamani.
 
Kwamba kule peponi hakuna mabikra 72?

Hebu acha matani mkuu.
 
Ukiona mwanaume anajisifia kua anajua kutukana, ujue kuna walakini.....
 
Nami nasema ni aheri kitojihusisha na ngono ungali hai ilikusudi ukifika peponi mabikra 72 wawe halili yako. Hii ndiyo sababu Mimi nanyetuka tu katika kipindi chote Cha maisha yangu hapa duniani.
 
wanakimbiaga machoko wenzako, lini mwerevu alimkimbia kobozi kwa matusi yake? Unatetea kitu usichokijua we mswahili wa kibongo, kula kitimoto upate afya
Hili hapa shoga limejileta
Umetoka kupanguswa makalio na mchungaji wako unajiona mwepesi kakupunguza uzito
 
Pinga hoja kwa hoja usizuie watu kutoa hoja.

Kupinga dini yoyote ni haki ya kujieleza. Ni haki ya kuabudu au kutoabudu. Ni haki ya kibinadamu. Ni haki ya kikatiba.

Na hata Uislamu wenyewe unaweza kusemwa kuwa una hoja za kupingana na dini na falsafa zingine.

Sasa mtu akikuambia na wewe usituletee habari za Uislamu wako uliojaa uongo na ujinga, mpinge kwa hoja, usilazimishe asiseme anachofikiri.
 
Machoko wamejazana misikitini tena wameoa kabisa mfano mzuri afande Rama msijifanye mmemsahau piq mtoto wa bi msumi amekiri kufirwa na majini
Unajibu kujifurahusha na vistori vya kichoko
Leta ushahidi
Mimi nikisema wakristo wanaongoza kwa ushoga na kufirana mpaka wachungaji machoko wanaoana Kanisani sikurupuki
Nitajaza mada nzima ya ndoa za machoko wa kigalatia mpaka wachungaji wenu
 
Kote kote naona hali hiyo hiyo. Wanaotapeliwa na kuhani mussa hawana tofauti na wanaotapeliwa na kina sheikh Kishk.

Majuzi sheikh Kishk akiwa anatoa mawaidha alisema peponi mwanaume wa Hali y chini kabisa atapewa mabikra watatu, bikra zao zitakua zinajirudi kila baada ya tendo.
Kwa akili ya kawaida wewe unaona hiyo Ni kweli? Lakini watu wanaamini kweli peponi watapewa bikra
 
Umeandika jambo zuri, sioni sababu ya kuchukua dini ya mwingine.
 
We ndio una uchungu sana na uislam? Labda kama we ni mwarabu hapo sawa, ila kama we ni mmatumbi ujue unatetea kitu usichokijua. Uislam una wenyewe, sio wewe mmatumbi wa madongokuinama
Uislamu umekuja kwa ajili ya watu wote, ndio maana tunambiwa mbora wenu ni Mchamungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…