Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,667
- 29,958
Nami nasema ni aheri kitojihusisha na ngono ungali hai ilikusudi ukifika peponi mabikra 72 wawe halili yako. Hii ndiyo sababu Mimi nanyetuka tu katika kipindi chote Cha maisha yangu hapa duniani.
Silimu , toa shahada
Ndiyo, Allah ndiye aliyeamrisha Tawaf katika Qur’an (22:29). Idadi ya mara 7 haikutajwa na Qur’an, bali imeelezwa na Mtume Muhammad ﷺ kupitia Sunnah. Waarabu walikuwa wanazunguka Ka‘aba kabla ya Uislam, lakini walikuwa wameipotosha ibada kwa shirki. Uislam haukuanzisha Tawaf, bali uliirejesha katika Tauhid kama alivyoamrishwa Nabii Ibrahim
Hujanielewa hoja yangu
Nimekuuliza tu maana kwa kejeli unajua kwaanini? Kwasababu ndio ulivyozoea,
KATIKA SWALI LAKO ULILO ULIZA UMEPINDISHA NA KUWEKA UONGO
PROPAGANDA, so why ufanye hivo?
Kwani nani alisema ipo ??Narudia swali.
Kwenye Quran kuna sehem allah alisema mzunguke kaaba mara 7?.
Jibu ni Hakuna.
Tuishie hapo.
Bro Kisai kwan ulikuwa hujui hili.
Haya chat gpt anasema hivi.
Mkiletewa hoja mnaishia kusema dhaifu au ushahidi.
Ushahidi wa kimazingira uko hapo.
👇👇👇
Kabla ya Uislamu, kabila la
Quraysh lilitawala Mecca na Kaaba ilikuwa kituo kikuu cha kidini kilichojaa masanamu, likijumuisha miungu mkuu kama Hubal na mabinti zake watatu, Allāt, al-'Uzza, na Manāt, pamoja na miungu mingine 360 iliyoabudiwa ndani na kuzunguka Kaaba, ambayo ilikuwa ishara ya ibada ya ushirikina hadi Mtume Muhammad alipoifungua na kuondoa masanamu hayo, akirejesha Kaaba kwa ajili ya Mwenyezi Mungu pekee.
Ushuhuda wa Kihistoria na Dini ya Kabla ya Uislamu:
- Kaaba kama Kituo cha Kidini: Kabla ya Uislamu, Kaaba ilikuwa mahali patakatifu ambapo makabila mbalimbali yalikuwa yakiweka masanamu ya miungu yao, na Quraysh, walioitawala Mecca, walikuwa walinzi wakuu wa eneo hili.
- Miungu Mbalimbali: Dini iliyokuwa imeenea ilikuwa ushirikina, ikiwa na miungu mikuu kama Hubal (mungu wa mwezi), na miungu ya kike ya nguvu: al-Lāt, al-'Uzza, na Manāt.
- Sanamu 360: Inasemekana kuwa kulikuwa na masanamu 360 yaliyowekwa ndani ya Kaaba, yakionyesha ibada ya miungu mingi (polytheism) kabla ya kuwasili kwa Uislamu.
Ushahidi wa Kitabu:
- Uharibifu wa Masanamu: Vitabu vya Kiislamu vinasimulia kuwa Mtume Muhammad alipoingia Mecca kwa ushindi, aliamuru masanamu yote yaharibiwe, jambo lililoashiria mwisho wa ibada ya ushirikina na kurudisha Kaaba kwa ibada ya Mungu mmoja (Allah).
Njoo kwangu na aya iliyochakachuliwaGood
Macho huona, masikio husikia, pua hunusa, ulimi huonja, ngozi huihisi, akili huchakata na kukupa majibu kutokana na maarifa yako na ikiwa viungo vyako vinafanya kazi sawasawa, unaweza kuona mazigazi ukadhani ni maji. Yaani umetumia njia ya mkato katika jambo linalohitaji usomi.Dini zote ni uongo.
Uislamu ni uongo.
Ukristo ni uongo.
Allah hayupo.
Yesu hayupo.
Mungu hayupo.
Shetani hayupo.
umeshasahau au ndio njia zenu za kukimbiaNjoo kwangu na aya iliyochakachuliwa
Rejeo la nilichojibu kkmetokana na wewe kusema Quran ipo kwenye lugha ya kiaarabu na sio uarabu. Jibu langu kwako likawa unatenganishaje kiarabu na waarabu? Mfano wake ndio ukawa huo wa kichagga na wachaggaSasa mbona unahamisha hoja tena ? Uarabu ni utamaduni, ada na desturi. Uislamu ni njia sahihi kufika kwa Allah.
Waarabu katika ada zao ilikuwa mtu akipata watoto wa kike, wanawauwa, Uislamu ukaja kukataza jambo hilo. Sasa leta mifano hai.
maji ya zamzam hayauzwiChamsingi maiache kuhiji..Saudia inahitaji sana hizo hela za utalii na kuwauzia maji ya zamzam
Kuna kitu cha maana cha maana kilichoandikwa kwenye Bibilia zaidi ya huyu alimtomba huyu akamzaa huyuUmepanick brother.
😂😂😂😂
Ww haujui Uislam.
Hayo ni maarifa nakuambia ili ujue.
Kuwa Dini yako ni patatu papatu.
Imeokoteza mising ya dini nyingne.
Leta hapa vifungu vya Quran vinavyotoka kwenye huu upupu unaitwa bibilia?
Bibilia imeshindwa kusimama yenyewe inajinasibisha na Torati ya Jews
A.Ukiprove kuwa nimeitoa AI naingia ukristo hapahapa
Usikimbie hoja kwa visingizio vya AI , Hiyo nimewajibu wakristo humu hata kabla ya kuanza hiyo AI
Ile aya ni ya kuchakachuliwa soma biblia ya NIV utaona
Baada ya hapo sheikh kishki akawauzia nini waumini wake??Kote kote naona hali hiyo hiyo. Wanaotapeliwa na kuhani mussa hawana tofauti na wanaotapeliwa na kina sheikh Kishk.
Majuzi sheikh Kishk akiwa anatoa mawaidha alisema peponi mwanaume wa Hali y chini kabisa atapewa mabikra watatu, bikra zao zitakua zinajirudi kila baada ya tendo.
Kwa akili ya kawaida wewe unaona hiyo Ni kweli? Lakini watu wanaamini kweli peponi watapewa bikra
Kwanza ngoja nianze na weweNa sisi hatutatak Waislam mjinasibu na Wakristo.
Kila mtu abaki na dini yake.
Alaf Makebo kwakuwa haujatukana ngoja nianze kujibu
Hizi hoja zako 2 hapo juu.
na uzitafakari.
Quran inataja mitume 25.
- Mitume 21 ni wayahudi na wako kwenye Biblia. Ambayo ilikuwepo miaka 600 kabla ya Uaislam.
- Mitume 4 ni waarabu.
Sasa ni nani anajipendekeza kwa mwingine?.
- Manabii na mitume hiyo 21 ina mistar na visa kwenye Biblia.
- ni nani sasa ametegemea mwingne kwenye kusimama kwake?.
Macho kuona, masikio kusikia, pua kunusa, ulimi kuonja, ngozi kuhisi, akili kuchakata. Havina uhusiano wowote na Mungu.Macho huona, masikio husikia, pua hunusa, ulimi huonja, ngozi huihisi, akili huchakata na kukupa majibu kutokana na maarifa yako na ikiwa viungo vyako vinafanya kazi sawasawa, unaweza kuona mazigazi ukadhani ni maji. Yaani umetumia njia ya mkato katika jambo linalohitaji usomi.
Lakini umekasirishwa na nini mpaka umefikia hapo ulipofikia?
Kalombwe hukoDini yetu haiangalii watu na ndio maana Wanazuoni wote wa Saudia wanasema mpira haramu.
Shida hamna akili, mara ngapi watu wanajua kitu fulani ni dhambi na wanakifanya ?
Mmekuwa na chuki dhidi ya Waislamu mpaka mmekuwa wajinga.
Nani asiyejua ya kuwa wizi au uzinifu ni jambo baya, na watu wanafanya ?
Dini yetu sisi haiwategemei Wasaudia, wala waarabu wowote, Bali dini yetu sisi ni Qur'an, Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
A.
Alianza na Wayahudi, akamalizia kwa ulimwengu wote.
Yesu alizaliwa chini ya Agano la Israeli (Warumi 15:8).
Ahadi za Mungu zilianza na Israeli (Mwanzo 12:3).
Ndiyo maana alisema:
“ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.” (Mathayo 15:24)
Lakini hiyo ilikuwa hatua ya kwanza, si mwisho.
Baada ya:
kifo
kufufuka
kutimizwa kwa agano
Ujumbe unafunguliwa kwa mataifa yote (Mathayo 28, Luka 24).
Hii si kujipinga, ni mpango unaokua kwa hatua.
Mfano rahisi: Darasa la 1 → Darasa la 7
Sio kubadilika mawazo, ni kuendelea mbele.
B.
Sehemu ya Marko 16:9–20 ina mjadala wa maandishi, lakini agizo la kuhubiri ulimwengu wote halitegemei sehemu hiyo.
Ukweli:
, Marko 16:9–20 haipo kwenye baadhi ya miswada ya kale
lakini:❌Agizo hilo halipo Marko peke yake
Lipo pia:
Mathayo 28:19–20
Luka 24:46–49
Matendo 1:8
Hata kama ungeiondoa Marko 16 kabisa, ujumbe haupotei.
Hivyo kusema “liliongezwa” ≠ kusema “halikutoka kwa Yesu”.
C.
Paulo si mtunzi, ni mpokeaji wa mapokeo.
Katika 1 Wakorintho 15:3 anasema wazi:
“niliyoyapokea…”
Hii ni lugha ya mapokeo ya kale, si ubunifu.
Wanazuoni wengi (hata wasio Wakristo) wanakubali:
Kipande hiki ni cha miaka 2–5 baada ya kifo cha Yesu
Kabla hata Paulo hajaanza huduma yake
Zaidi ya hapo:
Paulo alithibitishwa na Petro, Yakobo na mitume (Wagalatia 1–2)
Kama angeleta “injili tofauti”, angekataliwa
Paulo hakuanzisha Ukristo, aliutangaza.
D.
Kufufuka ni imani ya awali kabisa ya Wakristo, si ubunifu wa baadaye.
Ushahidi:
1 Wakorintho 15 (mapokeo ya mapema sana)
Mashahidi wengi (Petro, mitume, ndugu 500)
Adui wa awali (Paulo mwenyewe) alibadilika
Hakuna mwili uliowahi kuonyeshwa kupinga dai
🔥 Kama kufufuka kingekuwa hadithi:
Wayahudi wangeivunja mapema
Warumi wangeizima kirahisi
Mitume wasingekufa kwa kile walichojua ni uongo
Watu hawafi kwa kile wanachojua ni uongo.
Jamaa unachukua hoja halali za kitaaluma, lakini unazivuta hadi kwenye hitimisho ambalo ushahidi hauungi mkono.
Au kwa lugha ya mtaa kidogo 😄
Ni nusu-mkweli unayevusha mipaka ya ukweli.
Yesu alianza na Israeli kwa mpango, akapanua kwa ulimwengu baada ya kufufuka. Agizo la mataifa yote halitegemei Marko 16 pekee, Paulo hakubuni imani bali alirithi mapokeo ya awali, na kufufuka ni imani ya mwanzo kabisa ya Wakristo.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥