Dogo Paten atumie vizuri huu upepo wake

Dogo Paten atumie vizuri huu upepo wake

Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.

Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya kutosha!
Dogo paten anahusika na ishu gani?
 
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.

Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya kutosha!
Pierree liquid yupo wapi?
 
Fame has a price to pay
Fame never last
Fame attract wrong people

So simuoni huyo dogo akiendelea kusikika kwa muendelezo (consistence)
 
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.

Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya kutosha!
Uliongea hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom