DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Kabla hujaita Ukristo uongo, ni vizuri ukubali ukweli kuhusu dini yako mwenyewe.

Uislamu umejengwa juu ya msingi unaoruhusu uongo kupitia kitu kinachoitwa Taqiyya.

Hii ni ruhusa ya kuficha ukweli au kusema kinyume na unachoamini ili kulinda Uislamu au maisha yako.

Qur’an 16:106 inaruhusu hili waziwazi. Hii inamaanisha mfuasi wa Uislamu anaweza kukuambia chochote, hata kama si kweli, mradi anasema ni kwa faida ya dini.

Sasa kama dini inaruhusu kuficha ukweli na kusema uongo kwa makusudi, ni vipi mtu anaweza kuwa na uhakika kuwa anachoambiwa si sehemu ya Taqiyya?

Ukristo hausimami kwenye msingi wa uongo, lakini Uislamu wenyewe umeshikilia wazi kwamba unaweza kutumia uongo kulinda dini yake.

NDIO MAANA UISLAMU UMEJAA UONGO NAWEZA KUANDIKA HAPA MPAKA ASUBUHI
Ww babu hiv unauongelea uslam ama UShia?
 
Ww babu hiv unauongelea uslam ama UShia?
Hivi kwanini dini yenu hamuijui na mnaburuzwa tu, nitawafunza uislamu ulivyo mpaka lini ?

1️⃣ Maana ya Taqiyya

Taqiyya ni kutumia uongo au kuficha imani yako kwa maneno au vitendo ili kujilinda na madhara au kupata faida fulani.

Waislamu wa Sunni na Shia wote wana ushahidi ndani ya Qur’an unaoruhusu jambo hili.

2️⃣ Qur’an Inavyoruhusu Taqiyya

📖 Qur’an 3:28

"Waumini wasiwafanye makafiri kuwa marafiki badala ya waumini. Na atakayefanya hivyo hatakuwa na lolote kwa Mwenyezi Mungu isipokuwa mnapojilinda nao kwa kujihadhari (Taqiyya)."

Tafsiri ya wanazuoni wa Sunni (kama Ibn Kathir) inakubali kuwa "kujilinda" hapa ni kuruhusiwa kusema au kuonyesha kitu tofauti na ulivyo moyoni ili kuokoa nafsi yako.

📖 Qur’an 16:106

"Anayemkufuru Mwenyezi Mungu baada ya kuamini kwake, isipokuwa aliyelazimishwa na moyo wake umetulia katika imani..."

Aya hii inazungumzia ruhusa ya kumkana Mungu kwa maneno ikiwa unasema kwa kulazimishwa na moyo wako bado una imani.
Hii ndiyo hasa Taqiyya kusema uongo kuhusu imani yako ili kuokoa maisha.

3️⃣ Mfano wa Taqiyya katika Hadith za Sunni

📚 Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 9, Kitabu cha Vita, Hadith 3030
Hadithi ya Ammar bin Yasir: Alilazimishwa kumtukana Mtume na kumsifu mungu wa Waquraishi ili aachwe huru. Mtume hakumlaumu, bali alimfariji akisema kama wakikulazimisha tena, fanya tena.

Huu ni ushahidi kwamba Mtume mwenyewe aliruhusu mtu aseme uongo kuhusu imani yake ili ajikinge.

📚 Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 5, Kitabu cha Vita, Hadith 4129
Mtume aliruhusu Abdullah bin Unays kudanganya ili amuue Ka’b bin al-Ashraf.
Hii ni Taqiyya katika hali ya kijeshi —
kusema maneno ya uongo ili kufanikisha malengo.

NITAKAA NANYI KIZAZI CHA WADANGANYIKA WA UISLAMU MPAKA LINI?

MPOKEENI YESU MAPEMA
 
Nabii Issa hakupewa kitabu kinachoitwa Bible, Amepewa Injili

Hivyo hatuamini katika Bible bali Injili ya kweli aliyo teremshiwa.

Ngoja nikurahisishie.

Isomeke hivi.
Una iamini Quran.
Na Quran ina amini Injili, Torati na Zaburi.
(Injili,torati za zaburi ziko kwenye Biblia.)
Ila ww huamini Biblia.

Nina mashaka na iman yako.
 
Ngoja nikurahisishie.

Isomeke hivi.
Una iamini Quran.
Na Quran ina amini Injili, Torati na Zaburi.
(Injili,torati za zaburi ziko kwenye Biblia.)
Ila ww huamini Biblia.

Nina mashaka na iman yako.
Atakwambia Injili ,zaburi na Torati zimeharibiwa ,

Mwambie alete Original

Na akujibu zilipotoshwa lini na nani na wapi ,

Mwambie Sisi tuna manuscript za Zaburi na Torati kabla hata ya Yesu ,zipo na ni huru kwa yeyote kuzifanyia tafiti
 
“Watakatifu” Wapokea “Pelach”

Danieli 7:27 iko wazi kabisa kwamba watakatifu wanapokea “Pelach”, lakini tafsiri mpya za Biblia zimepotosha kifungu hiki na kukifanya ionekane kwamba Yesu ndiye anayepokea “huduma” hii, siyo watakatifu.

Sasa hebu tusome jinsi wanavyopotosha kifungu hiki kwa ujanja katika Danieli 7:27:

Tunaona kutokana na vifungu hivi kwamba “Ufalme chini ya mbingu” utatolewa kwa “watu watakatifu”, yaani watakatifu. Mwishoni mwa mstari, wasomi wa kitritaria, kwa kukata tamaa, wameongeza neno “yeye” ili kuwafanya watu waamini kwamba kifungu kinamhusu Masihi, na hivyo kwamba yeye anapaswa kuabudiwa.

Sasa hapa ndipo ilipo shida—tukichunguza kwa makini maandiko ya Kiaramu, neno “yeye” halipo kabisa. Halipo hata sehemu ya maandiko hayo. Danieli 7:27 inaishia na maneno “na watawala wote watatumikia na kutii”—na basi!

Kwa hiyo, tukilitazama kifungu hiki bila neno “yeye” lililoongezwa na wafuasi wa Utatu, ni wazi kabisa kwamba wanaopokea “Pelach”, sawa na ilivyo katika Danieli 7:14, ni watakatifu.

Hapa kuna picha ya ushuhuda, neno kwa neno, kutoka kwenye tovuti ya Kikristo, kuhusu Danieli 7:27, ili mjionee wenyewe kwamba neno “yeye” halimo kwenye kifungu hicho:

(daniel 7:27 pelach)

Ukisoma hadi mwisho wa mstari wa 27, utatambua kwamba katika maandiko ya asili ya Kiaramu, neno “yeye” siyo sehemu ya maandiko.

“Watakatifu” Wapokea Pelach​

Sasa sehemu inayofuata ni orodha ya tafsiri mbalimbali za Biblia zinazokubaliana kwamba Danieli 7:27 inawahusu watakatifu wanaopokea “Pelach”. Angalia neno “wao” mwishoni mwa kila tafsiri:

  1. Concordant Version of the Old Testament Daniel 7:27
    Ufalme, mamlaka na ukuu wa ufalme ulio chini ya mbingu zote utapewa watu wa watakatifu wa Aliye Juu Zaidi. Ufalme wao ni wa milele, na mamlaka yote mengine yatatumikia na kusikiliza wao.
  2. New Century Version Daniel 7:27
    Kisha watu watakatifu wa Mungu Aliye Juu Zaidi watapewa nguvu za kutawala. Watawala juu ya falme zote chini ya mbingu kwa nguvu na ukuu, na mamlaka yao ya kutawala itadumu milele. Watu kutoka falme zote zingine watawaheshimu na kuwatumikia wao.
  3. The Message Daniel 7:27
    Kisha utawala wa kifalme na mamlaka na utukufu wa falme zote chini ya mbingu utapewa watu wa Mungu Aliye Juu Zaidi. Utawala wao wa kifalme utadumu milele. Watawala wote wengine watawatumikia na kuwatii wao.
  4. English Revised Version Daniel 7:27
    Kisha watu maalumu wa Mungu watatawala ufalme. Nao watawala juu ya watu wote kutoka falme zote duniani. Ufalme huu utadumu milele. Na watu kutoka falme zote zingine watawaheshimu na kuwatumikia wao.
  5. God’s Word Translation Daniel 7:27
    Ufalme, pamoja na nguvu na ukuu wa falme zote chini ya mbingu, utapewa watu watakatifu wa Aliye Juu Zaidi. Ufalme wao ni wa milele. Nguvu zote zingine zitawatumikia na kuwatii wao.
  6. Complete Jewish Bible (CJB) Daniel 7:27
    Kisha ufalme, utawala na ukuu wa falme chini ya mbingu zote utapewa watu watakatifu wa Aliye Juu Zaidi. Ufalme wao ni wa milele, na watawala wote watawatumikia na kuwatii wao.
  7. English Standard Version Anglicised (ESVUK) Daniel 7:27
    Na ufalme na mamlaka na ukuu wa falme zote chini ya mbingu zote utapewa watu wa watakatifu wa Aliye Juu Zaidi; ufalme wao utakuwa wa milele, na falme zote zitawatumikia na kuwatii wao.
  8. Expanded Bible (EXB) Daniel 7:27
    Kisha watu watakatifu wa Mungu Aliye Juu Zaidi watapewa nguvu za kutawala. Watawala juu ya falme zote chini ya mbingu kwa nguvu na ukuu, na mamlaka yao ya kutawala itadumu milele. Watu kutoka falme zingine zote watawaheshimu na kuwatumikia wao.
  9. Good News Translation (GNT) Daniel 7:27
    Nguvu na ukuu wa falme zote duniani utapewa watu wa Mungu Mkuu. Nguvu yao ya kifalme haitakoma kamwe, na watawala wote duniani watawatumikia na kuwatii wao.
  10. Names of God Bible (NOG) Daniel 7:27
    Ufalme, pamoja na nguvu na ukuu wa falme zote chini ya mbingu, utapewa watu watakatifu wa Elyonin. Ufalme wao ni wa milele. Nguvu zote zingine zitawatumikia na kuwatii wao.
  11. New Revised Standard Version (NRSV) Daniel 7:27
    Ufalme, mamlaka na ukuu wa falme zote chini ya mbingu zote utapewa watu wa watakatifu wa Aliye Juu Zaidi; ufalme wao utakuwa wa milele, na falme zote zitawatumikia na kuwatii wao.
  12. New Revised Standard Version, Anglicised (NRSVA) Daniel 7:27
    Ufalme, mamlaka na ukuu wa falme zote chini ya mbingu zote utapewa watu wa watakatifu wa Aliye Juu Zaidi; ufalme wao utakuwa wa milele, na falme zote zitawatumikia na kuwatii wao.
  13. New Revised Standard Version, Anglicised Catholic Edition (NRSVACE) Daniel 7:27
    Ufalme, mamlaka na ukuu wa falme zote chini ya mbingu zote utapewa watu wa watakatifu wa Aliye Juu Zaidi; ufalme wao utakuwa wa milele, na falme zote zitawatumikia na kuwatii wao.
  14. Revised Standard Version (RSV) Daniel 7:27
    Na ufalme na mamlaka na ukuu wa falme zote chini ya mbingu zote utapewa watu wa watakatifu wa Aliye Juu Zaidi; ufalme wao utakuwa wa milele, na falme zote zitawatumikia na kuwatii wao.
  15. Revised Standard Version Catholic Edition (RSVCE) Daniel 7:27
    Na ufalme na mamlaka na ukuu wa falme zote chini ya mbingu zote utapewa watu wa watakatifu wa Aliye Juu Zaidi; ufalme wao utakuwa wa milele, na falme zote zitawatumikia na kuwatii wao.

Kutokana na tafsiri hizi za Biblia, tunaona ushahidi wa wazi kwamba watakatifu ndio wanaopokea Pelach.
My friend, all these notes ni kuelezea hilo neno "Pelach"? Hivi unadhani tunamwita Yesu Mungu kwa sababu imeandikwa kwamba atatumikiwa au ametumikiwa?

You are stuck with a single word and then falsely accuse christians of using it to fabricate some doctrine.

Danieli 7:14
[14]Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa.

DANIEL 7:14
And there was given him dominion, and glory, and a kingdom, that all people, nations, and languages, should serve him: his dominion is an everlasting dominion, which shall not pass away, and his kingdom that which shall not be destroyed.

Read above text again and tell me it's all about some mere human and not God. Ndipo nitakuelewa. Stop the blah blah blah za Pelach sijui nini. Mimi najua hata neno kusujudu laweza kutumika kwa mwanadamu kwenye Biblia lakini sharti uzingatie muktadha.
 
Hivi kwanini dini yenu hamuijui na mnaburuzwa tu, nitawafunza uislamu ulivyo mpaka lini ?

1️⃣ Maana ya Taqiyya

Taqiyya ni kutumia uongo au kuficha imani yako kwa maneno au vitendo ili kujilinda na madhara au kupata faida fulani.

Waislamu wa Sunni na Shia wote wana ushahidi ndani ya Qur’an unaoruhusu jambo hili.

2️⃣ Qur’an Inavyoruhusu Taqiyya

📖 Qur’an 3:28

Tafsiri ya wanazuoni wa Sunni (kama Ibn Kathir) inakubali kuwa "kujilinda" hapa ni kuruhusiwa kusema au kuonyesha kitu tofauti na ulivyo moyoni ili kuokoa nafsi yako.

📖 Qur’an 16:106

"Anayemkufuru Mwenyezi Mungu baada ya kuamini kwake, isipokuwa aliyelazimishwa na moyo wake umetulia katika imani..."

Aya hii inazungumzia ruhusa ya kumkana Mungu kwa maneno ikiwa unasema kwa kulazimishwa na moyo wako bado una imani.
Hii ndiyo hasa Taqiyya kusema uongo kuhusu imani yako ili kuokoa maisha.

3️⃣ Mfano wa Taqiyya katika Hadith za Sunni

📚 Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 9, Kitabu cha Vita, Hadith 3030
Hadithi ya Ammar bin Yasir: Alilazimishwa kumtukana Mtume na kumsifu mungu wa Waquraishi ili aachwe huru. Mtume hakumlaumu, bali alimfariji akisema kama wakikulazimisha tena, fanya tena.

Huu ni ushahidi kwamba Mtume mwenyewe aliruhusu mtu aseme uongo kuhusu imani yake ili ajikinge.

📚 Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 5, Kitabu cha Vita, Hadith 4129
Mtume aliruhusu Abdullah bin Unays kudanganya ili amuue Ka’b bin al-Ashraf.
Hii ni Taqiyya katika hali ya kijeshi —
kusema maneno ya uongo ili kufanikisha malengo.

NITAKAA NANYI KIZAZI CHA WADANGANYIKA WA UISLAMU MPAKA LINI?

MPOKEENI YESU MAPEMA

Ngoja nikurahisishie.

Isomeke hivi.
Una iamini Quran.
Na Quran ina amini Injili, Torati na Zaburi.
(Injili,torati za zaburi ziko kwenye Biblia.)
Ila ww huamini Biblia.

Nina mashaka na iman yako.

Roho ambazo MUNGU Mwenyezi huzishusha, ikiwemo zile za uongo, katika Biblia:

Baadhi ya Roho ambazo MUNGU Mwenyezi huzishusha juu ya viumbe Wake katika Agano la Kale. Tazama pia Danieli 7:25: Ukristo utabadilisha nyakati na Sheria.

Isaya 11:1-3

  1. Chipukizi litatokea kutoka kwenye shina la Yese; kutoka mizizi yake tawi litazaa matunda.

  1. Roho ya BWANA itakaa juu yake (Yesu) — Roho ya hekima na ufahamu, Roho ya shauri na uweza, Roho ya maarifa na ya kumcha BWANA (Yesu akimcha MUNGU wake) —

  1. naye atafurahia kumcha BWANA. Hatahukumu kwa kile macho yake yanaona, wala hataamua kwa kile masikio yake yanasikia;

1 Wafalme 22:22

“‘Kwa njia gani?’ akauliza BWANA. Akasema, ‘Nitakwenda na kuwa roho ya uongo katika vinywa vya manabii wake wote.’ BWANA akasema, ‘Utapata kumshawishi; nenda ukafanye hivyo.’”

1 Wafalme 22:23

“Hivyo sasa BWANA ameweka roho ya uongo katika vinywa vya hawa manabii wako wote. BWANA ametangaza maafa juu yako.”

Paulo alikiri kusema uongo (Warumi 3:7). Alisema wazi kwamba alisema uongo katika huduma yake. Ni roho gani iliyomshawishi Paulo kusema uongo?

Danieli 7:25: Ukristo utabadilisha nyakati na Sheria.

Danieli 7:25

25 Naye atanena maneno dhidi ya Aliye Juu Sana,
(1. kufanya dhambi kuwa halali na halali kuwa dhambi) na atawachosha watakatifu wa Aliye Juu Sana,

(2. kuchanganya kwa misemo tata na mafumbo; tazama orodha ndefu hapa chini) na ataazimia kubadilisha majira na sheria;

(3. kalenda ya BK na Ukristo) nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati mmoja, na nyakati mbili, na nusu wakati.

(4. Ukristo wa kipagani utaenea)
 
Nimekuliza swali dogo

Yesu ni nani?

Na baba ni nani?

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Na hapo Yesu anasujudu na kuimba

Anamsujudia na kumuomba Mungu gani kama yeye ndio Mungu?

Nilitaka nikuonyeshe tu kuwa wagalatia hamufuati Yesu ila mnafuata DOGMA za Wazungu

Hayo maswali yote yanamuhusu Mungu wako aliyekuumba na unayepaswa kumuabudu

Unashindwa kujibu alafu unategemea upate uzima wa milele wakati hata Mungu aliyekuumba haumjui labda kama hiyo pepo ya mjomba wako

Yesu ni nani haujui

Baba ni nani haujui

Yesu alikuwa anamuabudu Mungu gani haujui

Hayo ndio madhara ya DOGMA uliyolishwa kanisani
Haya labda utanielewa.
Yesu ni nani?
1) Ni Mwana wa Mungu
MATHAYO 16
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Maandiko mengine yanayosema Yesu ni Mwana wa Mungu: YOHANA 11:27, YOHANA 20:31, MARKO 14:61,62, MARKO 1:1, LUKA 1:35

Baba ni nani, kwa muktadha wa andiko la muuliza swali Mathayo 26:39 ?
Baba ni yule ambaye Yesu akimtaja wayahudi wanaelewa kuwa ni Mungu wa manabii wao kina Musa YOHANA 8:54. Kwa maana hiyo Baba ni Mungu.

54 Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.

Hayo ni majibu ya Yesu ni nani na Baba ni nani.

Pia; Yesu ni Mungu kama ambavyo Baba ni Mungu.
YOHANA 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

Yesu na Baba ni Umoja:
YOHANA 10:30
30 Mimi na Baba tu umoja.

Ukimwona Yesu umemwona Baba
YOHANA 14:9
9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Vyote alivyonavyo Baba ni vya Yesu
YOHANA 16:15
15 Na yote aliyo nayo Baba ni yangu;

Nimekujibu au bado sijakujibu? Wazolee
 
DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu

DOGMA ndani ya ukristo

1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo

2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini wakati hakuna andiko linalosema hivyo

3) wameaminishwa kuwa Mungu ana nafsi 3 wakati hakuna andiko linalosema hivyo

4) wameaminishwa kuwa wakiwa na shida wamuombe Yesu wakati hakuna andiko linalosema hivyo

5) wameaminishwa kuwa Yesu ni Mungu wakati Yesu mwenyewe amekana kuwa yeye sio Mungu

6) wameaminishwa kuwa Mungu aligeuka kuwa mtu akacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya

7) wameaminishwa kuwa ukristo alianzisha Yesu wakati maandiko na historia zinasema kuwa ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka

8) wameaminishwa kuwa wakifanya ibada wasisujudu wakati maandiko yanawataka wasujudu na manabii wote walikuwa wanasujudu

9) wameaminishwa kuwa Yesu alisurubiwa Kwa ajili ya dhambi zao wakati maandiko yanasema Kila mtu atabeba mzigo wake

10) wameaminishwa kuwa msalaba ni neema Hadi wanavaa shingoni mwao wakati maandiko yanasema msalaba ni laana

11) wameaminishwa kuwa kuoa wake wengi ni kosa wakati hakuna andiko linalosema hivyo

12) wameaminishwa kuwa ukristo ulianzishwa nchini Jerusalem wakati maandiko yanasema ulianzishwa nchini ugiriki

14) wameaminishwa kuwa Injili ni kitabu Cha wakristo wakati hakuna andiko linalosema hivyo

15) wameaminishwa kuwa Paulo ni mtume wakati Yesu alisema yeye ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Israel

16) wameaminishwa kuwa Jumapili ni siku ya ibada wakati hakuna andiko linalosema hivyo

Wazungu watu wabaya sana
Ni kweli lakini haikuhusu mzee...
 
Roho ambazo MUNGU Mwenyezi huzishusha, ikiwemo zile za uongo, katika Biblia:

Baadhi ya Roho ambazo MUNGU Mwenyezi huzishusha juu ya viumbe Wake katika Agano la Kale. Tazama pia Danieli 7:25: Ukristo utabadilisha nyakati na Sheria.

Isaya 11:1-3

1 Wafalme 22:22

1 Wafalme 22:23

Paulo alikiri kusema uongo (Warumi 3:7). Alisema wazi kwamba alisema uongo katika huduma yake. Ni roho gani iliyomshawishi Paulo kusema uongo?

Danieli 7:25: Ukristo utabadilisha nyakati na Sheria.

Danieli 7:25
Hebu rudia kusoma Daniel 7.
Anza mstar ule wa kwanza kabisa.
Naona umesoma haraka haraka tafsiri ya ndoto.

Maana mstar wa 21 huyo mfalme wa nne ndio atapigana na watakatifu na kuwashinda na atabadili majira na sheria. Ila baadae pia ana ataondolewa mamlaka.

Swali; ni nani kasema huyo mfalme wa 4 wa Dunia kwenye hiyo ndoto ni Dini ya Ukristo?.

Ww umesoma mstar wa 25 tu na kujenga hoja yako.

Ungeanza mwanzon upate picha kamili na pia mwishon uone ilivyoishia. Maana Biblia visa vinaisha kwa mtiririko unaoeleweka na sio kama Quran.

Malizia mistar hii alaf tafakar hizo hoja zako 4 uone kama zinaingia.

Daniel 7 :26-27
"26 Lakini hukumu itawekwa, nao watamwondolea mamlaka yake, kuipoteza na kuiangamiza, hata milele.
27 Na ufalme, na mamlaka, na ukuu wa ufalme, chini ya mbingu zote, watapewa watu wa watakatifu wake Aliye juu; ufalme wake ni ufalme wa milele, na wote wenye mamlaka watamtumikia na kumtii.

Bila shaka haziingii
 
Na hii pia anzia kusoma 1 wafalme 22: 13-25.
uanzia mstar ule wa 13. Utabiri wa Mikaya.
Ili Uone kisa kilipoanzia na kinapoishia.
 
UISLAMU UNARUHUSU UONGO

Aya inayojulikana zaidi inayotumiwa kuelezea taqiyya ni

Surah Al-Imran (3:28)

"Wamwache Mumin asiungane na waongo na wapambe wake. Na yule atakayewaunganisha wao, basi hakika ametenda dhambi."
"Isipokuwa wale waliolazimika na mioyo yao kuwa na amani kwao, lakini wao wamesalimu kwa kuficha imani yao..."
(Tafsiri huru)

Aya hii inatambua hali ambapo mtu anaweza kusema uongo kwa kuonusuru Imani au dini

Ushahidi kutoka Hadith

Hadith zinaonyesha kwamba Mtume Muhammad (SAW) aliruhusu kuficha imani na kusema uongo katika hali fulani za hatari

Ibn Umar aliripoti kwamba Mtume alisema:

"Mtu asiyetambua taqiyya si miongoni mwa wapendwa wa Mwenyezi Mungu."
Al Imran 3:28 inasema hivi
 
Attachments

  • Screenshot_20250811-224330.png
    Screenshot_20250811-224330.png
    116.1 KB · Views: 12
Hebu rudia kusoma Daniel 7.
Anza mstar ule wa kwanza kabisa.
Naona umesoma haraka haraka tafsiri ya ndoto.

Maana mstar wa 21 huyo mfalme wa nne ndio atapigana na watakatifu na kuwashinda na atabadili majira na sheria. Ila baadae pia ana ataondolewa mamlaka.

Swali; ni nani kasema huyo mfalme wa 4 wa Dunia kwenye hiyo ndoto ni Dini ya Ukristo?.

Ww umesoma mstar wa 25 tu na kujenga hoja yako.

Ungeanza mwanzon upate picha kamili na pia mwishon uone ilivyoishia. Maana Biblia visa vinaisha kwa mtiririko unaoeleweka na sio kama Quran.

Malizia mistar hii alaf tafakar hizo hoja zako 4 uone kama zinaingia.

Daniel 7 :26-27
"26 Lakini hukumu itawekwa, nao watamwondolea mamlaka yake, kuipoteza na kuiangamiza, hata milele.
27 Na ufalme, na mamlaka, na ukuu wa ufalme, chini ya mbingu zote, watapewa watu wa watakatifu wake Aliye juu; ufalme wake ni ufalme wa milele, na wote wenye mamlaka watamtumikia na kumtii.

Bila shaka haziingii
Waislam waliamuriwa wasome biblia wajifunze , kama hawaelewi wawaukize wakristo, usishangae huyo ana jifunza Bible kupitia wakristo. Ndio maana ana kuja na essay type ambazo hazina ushahidi wa maandiko.

Wewe umeambiwa Yesu ni mungu wa nguvu, neno limeandika kwa evidence yeye ana kuja na porojo ili kutetea dini yake na Quran ambayo ime copy Bible na kupachika wahusika majina ya kiarabu.
 
Paulo alikiri kusema uongo (Warumi 3:7). Alisema wazi kwamba alisema uongo katika huduma yake. Ni roho gani iliyomshawishi Paulo kusema uongo?

Hii inasomeka hivi
Warumi 3:7
Mtu anaweza kusema,“Kama uongo wangu unasaidia kuonyesha ukweli wa Mungu na hivyo kudhihirisha utukufu wake, kwa nini basi ninahukumiwa kama mwenye dhambi?”

Akiwa ana maana Ikiwa kusema uwongo kunaonyesha zaidi ukweli wa Mungu, na kuolongoza kwenye utukufu Wake, kwa nini Paulo anakumiwa kwa uwongo huo? Paulo alisema hapo awali kwamba dhambi zetu kwa hakika husababisha kuthibitisha kutokuwa na dhambi kwa haki kwa Mungu. Kwa hiyo, ikiwa dhambi yetu inamletea utukufu, kwa njia fulani, je, anapaswa kutuhukumu kwa ajili yake?.

Na sio kwamba Yeye Ni Muongo.
Bali anahoji.
 
Waislam waliamuriwa wasome biblia wajifunze , kama hawaelewi wawaukize wakristo, usishangae huyo ana jifunza Bible kupitia wakristo. Ndio maana ana kuja na essay type ambazo hazina ushahidi wa maandiko.

Wewe umeambiwa Yesu ni mungu wa nguvu, neno limeandika kwa evidence yeye ana kuja na porojo ili kutetea dini yake na Quran ambayo ime copy Bible na kupachika wahusika majina ya kiarabu.
Wapi Yesu anasema yeye ni Mungu?
 
Haya labda utanielewa.
Yesu ni nani?
1) Ni Mwana wa Mungu
MATHAYO 16
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Maandiko mengine yanayosema Yesu ni Mwana wa Mungu: YOHANA 11:27, YOHANA 20:31, MARKO 14:61,62, MARKO 1:1, LUKA 1:35

Baba ni nani, kwa muktadha wa andiko la muuliza swali Mathayo 26:39 ?
Baba ni yule ambaye Yesu akimtaja wayahudi wanaelewa kuwa ni Mungu wa manabii wao kina Musa YOHANA 8:54. Kwa maana hiyo Baba ni Mungu.

54 Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.

Hayo ni majibu ya Yesu ni nani na Baba ni nani.

Pia; Yesu ni Mungu kama ambavyo Baba ni Mungu.
YOHANA 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

Yesu na Baba ni Umoja:
YOHANA 10:30
30 Mimi na Baba tu umoja.

Ukimwona Yesu umemwona Baba
YOHANA 14:9
9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Vyote alivyonavyo Baba ni vya Yesu
YOHANA 16:15
15 Na yote aliyo nayo Baba ni yangu;

Nimekujibu au bado sijakujibu? Wazolee
Umeanza kujibu vizuri ila huku chini umeharibu na umeharibu Kwa sababu umeingiza mafundisho ya DOGMA

Umesema baba ni Mungu na Yesu pia ni Mungu hii ni DOGMA

Jibu hili swali

Kati ya huyo Mungu baba na Mungu Yesu Kwa mujibu wa Maneno yako katika hao wewe

Umeumbwa na nani?

Na unamuabudu nani?
 
Tumeumbwa na Mungu.
(Ambaye ana roho, na ambaye alikuja kujidhihirisha kwetu kama mwili Yesu na ambaye Yuko. )

Na tunamuomba na kumuabudu Mungu huyo huyo juu.

Ili kujitenganisha na miungu Mingine. Tukiomba tunaanza na iman hiyo ili kujua tunayemuomba ndio yule Mungu wa roho. Ndio yule Mungu aliyekuwepo na ambaye yuko na ndio yule Mungu aliyekuja kama Binadamu.
 
Kwa uelewa wangu mdogo naona Kama una chuki binafsi na wakristo.
Hivi Huwa ninyi mnanufaika na nini mnapoanzisha thread za kukashifu Imani za wenzenu

N.B: Mimi siegemei upande wowote sio mkristo Wala sio muislam
 
Wazolee

Tujikite kuamini Quran.
Quran ndio imeelezea vizur Kuhusu Yesu. Nabii Issa .

Jinsi alivyozaliwa.
Alivyotwaliwa na Allah kwa kupaa.
Na kuwa ndio Nabii pekee atarud siku ya Kiama.

Quran 3:45
"Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).”

Quran 3:47
"Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.”

Quran 66:12
"na tukampulizia humo aliye linda ubikira wake, kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi...”

Quran 4: 157-158
"Na kwa kusema kwao: "Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu." Lakini hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi wowote nayo, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.”

Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana"
Isa hawezi kuwa yesu kaka
 
Back
Top Bottom