Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

Tatizo lako si age difference in the normal sense. Tatizo lako ni height. Hutaki mume anayekuzidi kimo. Na with that attitude and character, 4get about erecting a standing still relationship. Yo problem is, yo not humble enough to be in harmony with this verses in the book of ephesians 5 in the bible: "22. Wives, be willing to serve yo husbands the same as to the lord. 23. A husband is a head of his wife, just as Christ is the head of the church, which is his body.
25 Husbands, love yo wives the same as Christ loved the church and gave his life for it." you dont want to be controlled. and probably the opposite. in marriage, each one should recognise and accept his or her position in accordance with the verses above.
 
jamani wapi nimesema sitaki mume anaenizidi kimo!!!!!!

mi I love his height yani Physical appearance yake wala sio shida kwangu.

Nashukuru kwa ushauri wako hasa hapo ulipoamua kunishushia Mistari ya Bible...
 
Kha..kwa style na comments za watu humu basi mie wangu ndo either anamaliza form six ama yuko form five somewhere!!! dah..i have a loong way to wait huh!!!!!

Haya waalimu wote snowhite, gfsonwin, Evelyn Salt anzeni kunchaguia mmoja wa wanafunzi wenu wa kuolewa na Mentor...:noidea:

hahaa anamaliza form 6 tena,umenichekeshaje mentor
yaani mi nilipiga wakati nazaliwa ye alikuwa yuko sijui darasa la ngapi huko LOL

ngoja walimu waanse kazi mapema,kukuchagulia Kimwana.....
 
hahahaaa...... Si ndio maana twapendana wii wangu, ila usije ukambwaga my kaka figganigga kisa anamiaka 60 lol!!!!!

Hahaaa wi kaka ako figganigga niko sambamba nae,na hapa tuko nae twala futari

uji wa pili pili manga na mapochopocho mengine

sijui kama aliaga huko kwenu!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
If u love him madam go ahead....I remembr my primary ticha once told me for a rshp to last u shud at least hav ur ages differ.....And in most cases a man shud b the 1 with mo ages......wat matters z love..

itabidi nifate principle ya teacher wako,asante mwaya

btn hizo lips zako tu Looh!!!!
 
You can take care of your self?????????????????How??????

Kwani wewe unajua ni nini umuhimu wa mwanaume kwako??

Nadhani hujui

Kama ungejua usingekuja hapa

Kingine ambacho naona huna na utakipata umri wako ukienda kidogo ni kuwa hujui ni nini unakihitaji kwa mwanaume

Realy,hujui hili

Nakushauri ufikirie hili kwanza

Halafu kwani wewe unawaza ndoa?

Kama ni ndio mwenzako je/

Kama hufikirii ndoa,kwanini unauliza haya?

Kma ni wewe peke yako unafikiria ndoa na mwenzako hafikirii huoni kwamba unajibebesha mambo yasiyokuwepo??
 
Dada ushapenda wewee go ahead go go dada nenda kajinome mwaya age might matter ila to me hiyo ni normal kabisa opportunity never come twice angalia vitu vingine lakini kwa hilo worry out!naisubiri hiyo kadi ya mchango kiroo safi yani!
 
Tatizo la hao raia wema wanaingizaga ukubwa hadi kwenye maloveee ataanza kukutreat ka mdogo wake and at the same time ka mpenzi wake,kingine muhimu saaaana Heaven on earth unatakiwa ugegedwe vizuri na ukunjwe kisawasawa na michezo kibao ya maloveee huyo mshua atawezaaaaaaaaaaaaa

Hehehehe daaah nimecheka hapa bar mpaka watu jirani wamenishangaa.

Sawa kabisa lakini.
 
cjui imani yako lakini mume bora hapatikani ati kwa ajili ya umri na pia katika tabia anweza akficha makucha mkioana ikawa shida ukajuta.so muombe Mungu kwani inawezekana shetani kakukutanisha ili apate kukujaribu.Muombe Mungu ili kama ni kusudi lake atakuonyesha kama mbaya ama mzuri.
 
jamani wapi nimesema sitaki mume anaenizidi kimo!!!!!!

mi I love his height yani Physical appearance yake wala sio shida kwangu.

Nashukuru kwa ushauri wako hasa hapo ulipoamua kunishushia Mistari ya Bible...

Niliposema kimo, hyo ni lugha ya picha. Hutak mwanaume atakaye kucontrol. so niliposema hutaki mwanaume anayekuzidi kimo nilimaanisha hutak mwanaume awe above you. This hell attitude ina wanawake wanaopitapita shule hasa, matokeo yake huw mnakuja kuishia shimo la tewa.
All the time wanawake mnastruggle kuwa at the same height with men. this is as foolish as trying to fight yo shadow! The author of life and relationship had ratified it so. There4 ask the author.
 
wala sio 70 years its just 10 yrs,sema the way anavyo act
kama ana ni control fulani kwamba DO this DONT do this!!!!

mambo mengine kama yapi niya consider,uko credible kunishauri
I just love the way you led things so we nishauri tu i will be grateful!!!!!
ewaaaaah, yani hapo umepata mwanaume, sio vivulana. mwanaume lazima akuongoze wew mwanamke sio kuchekeana tu. go ahead dadaa, u will make a nice couple. maana jamaa ana dalili zote za kuwa mwanaume wa shoka. god bless u.
 
Ingekuwa wewe ndio umemzidi hiyo miaka, tatizo lingekuwepo. Kumbe yeye ndio mkubwa no problem. Kikubwa ni maelewano na kupendana. If you feel the guy grab him.
 
wala sio 70 years its just 10 yrs,sema the way anavyo act
kama ana ni control fulani kwamba DO this DONT do this!!!!

mambo mengine kama yapi niya consider,uko credible kunishauri
I just love the way you led things so we nishauri tu i will be grateful!!!!!

Kukueleza fanya hiki au fanya kile sio sio lazima kuwe ni Kukukontroo,uwe unaangalia uhalisia wa kitu husika anachokueleza alafu upime;Usiweke mawazo ya kua anakukontroo kabla ya kuangalia hiyo issue anayokueleza ipoje.Yaani ktk maisha,especially ktk kujudge mambo,usiwe unajipendelea saana,sometime chukulia vitu kama vilivyotakiwa vifanyike (kujipendelea ni hulka ya kila mwanadamu) utaona unaishi bila KINYONGO..Ila kama umeipima hiyo issue na ukaona kua anakukontroo hapo unatakiwa uongee nae,tena katika hali ya mapenzi na mazingira mazuri,utaheshimiwa hata zaidi ya ujuavyo..(Kwa kutofautiana umri wa miaka 10 sio tatizo kwa Tamaduni za TZ na mazingira ya kiafya,mtapokelewa vizuri tu ktk jamii)
 
umri hauna relation yoyote na maisha ya ndoa cha msingi ni kama nyie mnapendana kwa that, na si vinginevo

Kichwakipana,Umri ktk mahusiano una nafasi yake,tena kubwa sana.Watu wanaishi kwa kufuata tamaduni zao (tamaduni hazikwepeki),na ukiishi kinyume na tamaduni hizo ni lazima idha wewe binafsi dhamiri yako Itakusuta (utasononeka/kujuta) na watu wanaokuzunguka watakuhukumu (hutapata support ya mambo kadhaa kwa 100% na hali hiyo lazima itaweka msononeko ktk mioyo ya wanandoa)

Watu wenye umri wa aina fulani kwa kawaida wana tabia kadhaa zinazofanana,Watu wenye utofauti wa miaka 10 kwenye ndoa huwa wanaweza kukaa kwenye box moja ikiwa mwanaume ndio mkubwa.Ila kama mwanamke ni mkubwa kwa miaka 10 hapo kutakua na mushkeli,maana ukuaji wa mwanamke na mwanaume ni tofauti (kibaiolojia), kiutamaduni nayo shida,jamii haitawakopea na kuwapa support.(Maisha sio kujiangalia nyie wawili tu,maana mnaishi kwenye jamii yenye utaratibu wake (utamaduni) huwezi kupuuza external forces ktk ndoa,lazima zitawadhuru tu kama hamku ziconsider.) Ndo maana kitu chochote ukitaka kufanya na uhakika na ufanikiwe ni lazima utambue Internal factors na External Factors ambazo zitaboresha au kuharibu shughuli husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom