Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
- Thread starter
- #141
Hiyo age unayoongelea kwa wote naona sawa kabisa, maana yake nini; Ni kwamba wote mko kwenye umri uliokomaa kimahusiano ni umri sahihi wa kuoana. Suppose tupunguze umri wenu miaka miwili, utaona kuwa mwanaume akiwa na umri wa miaka 28 na wewe miaka 18 utaona kuwa marriage hii itakuwa iko sahihi kwani umri bado nauona si tofauti kubwa kama unavyowaza. Kingine ambacho nakiona kuwa kingekuwa ndio kigezo halisia kuliko vyote, ni jinsi mapenzi yenu yalivyojiunda, namaanisha upendo wenu ukoje ndani ya mioyo yenu kama inashabihiana na kuridhiana, huyo ndio wako wa maisha.
asante sana jmwakikali,nashukuru sana
ushauri wenu counts alot
Last edited by a moderator: