Ahaa! Nimekusoma! Unazungumzia logic ya kifo chake mbeleni na sio kafa coz kagongwa, anaumwa etc.
Hii inategemea imani na mitazamo ya watu!
Mtazamo wangu:- watu husema ni kwa sababu maalum (mbeleni) kama KUJIFARIJI TU!
Hakuna ukweli wowote just embu fikiri kidogo 'kuzaliwa Africa' or 'kuwa masikini' watu husingizia Mungu kapanga kwa faida maalum hapo ni bora kuwa hivyo! Uzushi mtupu!
Just bad luck kama ulivyosema! Hakuna sababu yoyote mbeleni ni imani tu na kuunganisha matukio! Hata mimi naweza kujiliwaza "ningezaliwa ulaya ningekua naekti chonda/sex movies bora nilivyozaliwa huku, Mungu alitambua huku ndio kunanifaa!" simple simple kihivyo tu! Narudia tena HAKUNA SABABU YOYOTE MBELENI INAYOANZA MAANDALIZI KAMA HAYO! Eti asingekufa pengine angekuja kukuua or angekua hatari kwa maisha ya wengine. HAKUNA LOLOTE!
Gaijin, nimepata point yako hapo..Kwa misingi ya Cause and Effect ya kisayansi utaambiwa "Ukimwi hautokei hewani tu, kuna ulipoupatia (chanzo kipo)"
Tafadhali usichanganye "cause and effect" and "justification and effect"
Mtazamo wa kisayansi hauangalii chanzo in terms of morals or other justifications
Unasema "Ukichanganya damu na mwenye VVU, kuna nafasi ya wewe kupata VVU," haijalishi njia itakayopitia
Hayo ya kutafuta sababu ya iwapo ni haki kwa mtu kupata VVU, kwa njia isiyokuwa ya kujiweka hatarini ndipo imani na dini inapoingia
Umejilinda vya kutosha lakini umepata VVU kupitia ajali ya barabarani wewe ukiwemo kwenye daladala.
Hapo ndo Waswahili hukufariji kwa kukwambia Jitihada haiondoi kudura. Imeandikwa. Kuna sababu maalum
First of all it is not a must for things to happen in a cause and effect order, this is an illusion borne out of a thinking that time is linear and unidirectional, there are cases for a spacetime characterized by effects and causes (as opposed to cause and effect) as well as causeless spontaneity.
Second of all, it is entirely possible for one to be connected to an effect whose cause one is hardly connected to.
Moto kuwaka "suddenly" ni nadra. Kutakuwa na hitilafu ya umeme sehemu, au nyumba imepigwa radi, mtoto kawasha jiko vibaya etc.Kwa hiyo hata kama umeamka na kukuta nyumba inawaka moto tu, bila ya wewe kujua sababu, wewe kutojua sababu haimaanishi moto umewaka bila sababu.
If you get HIV from the barber that is your cause right there.
What constitute a "cause" to you? Must it be your fault? Devastating effects can be caused by causes that are entirely out of ones control.
Nilikwisha kupa definition hiyo ya kudura, na bado ukauliza, nikajua labda hiyo huitaki.
Mwanadamu hajui mambo gani anaweza kuya control na mambo gani hawezi
Hawezi kwa sababu maandiko hayo hayo yaliyomwambia kuwa kuna kudura ndio hayo hayo yaliyomwambia asihangaike kuyatafuta ni mambo gani kwa sababu hana uwezo wa kuyajua
Hutaki kuwa hapo ndio mwisho wa definition ya kudura?
Basi tuongezee wewe
🙂
Asome kwa sababu hajui kudra iko wapi.
Asome kwa sababu keshaambiwa mambo yanayokwenda kwa kudra ni machache, hivyo probability ya efforts zake kuzidiwa na kudra ni ndogo
Kwa masuala ambayo sio miongoni mwa kudra.
Kutaka kuishi duniani milele, kumehusu na nini na kuwa irresponsible kwa mazingira?
Badala yake, kutamfanya mtu apende kutunza mazingira, kwa sababu atakaa kwenye mazingira hayo maisha yake yote.
Did not receive grace from whom?
Bila ya shaka yoyote. Kudura haihusu mambo yote. Ni mambo machache tu.
Yaliyobaki yanakwenda kwa cause and effect ya jithada zako
Not at all.
Kila jambo lina sababu. Mengine sababu yake ni kudra
This is interesting. Kiranga's reply is one of the best I have ever read in JF. When all is considered there is nothing but four forces: Gravity, Electromagnetic, Strong Nuclear and the Weak Force. Hence on the Planck scale we have quantum phenomena, and at high speed we have relativistic effects which are not normally experienced. And then statistical effects and probability. And then, wave-particle duality. Watanzania inabidi tubadilike!!!
You are simply obsessed by Einstein's theory of relativity without actually grasping the underlying principles of the same.
Are you aware that an effect can occur even before its cause?
that a glass window can be seen shattering before the bullet which breaks it is fired?
that someone can travel at such a speed which would make red lights appear green?
Here we are trying to connect thories with real life to explain life itself instead of dealing with the same in obscurity
The Don Kiranga, kuna mambo mengine hayana cause and effect
nionavyo mimi for instance unajituma sana kusoma ikiwa ni pamoja na kufanya yote yanayohusu masomo yako lakini unajikuta umeangukia pua bila ya sababu unayoielewa,
au kwa mfano mwingine ukute wewe ni mfugaji na una mifugo yako unayoiangalia kila siku kwa kuakikisha wanapata matunzo stahili lakini unashaanga wanakufa mmoja baada ya mwingine na hawakuwa wanaumwa..
kwa leo nafikiri sitaweza ku comment vizuri as kuna yalonikuta "negative".. hivyo nimwombe Mungu aendelee kunipigania na kunishindia hili jaribu...loo
haha .. not real.. nilimwomba pia nadhani ndio sababu mpaka sasa napumua. NI KWA NEEMA TU.. wala SISTAHILI>Ulisahau kumwomba akupiganie yasikukute hayo yalokukuta "negative"?
haha .. not real.. nilimwomba pia nadhani ndio sababu mpaka sasa napumua. NI KWA NEEMA TU.. wala SISTAHILI>
Sasa kama ulimwomba na bado yakakukuta huoni kwamba alishindwa kuyazuia? Kwa nini umwombe tena aendelee kukupigania?
kwa leo nafikiri sitaweza ku comment vizuri as kuna yalonikuta "negative".. hivyo nimwombe Mungu aendelee kunipigania na kunishindia hili jaribu...loo
Mkuu nimepata point yako, vipi je ki-imani unaongeleaje hili swala? au huna imani kabisa??
Is kudura by design or chance?
Sasa kama ulimwomba na bado yakakukuta huoni kwamba alishindwa kuyazuia? Kwa nini umwombe tena aendelee kukupigania?
From mwanadamu's point of view, by design
From God's point of view, we don't know. Maybe probabilistic ...