Ukiwa Sr. Mary Kwenye Mahusiano Ukatendwa Sio Ndo Ufungulie Mbwa. Ajutaaa kufungulia mbwa!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Hii mada sio Ethical Wala Moral, haina integrity hata chembe kama unahisi hisi itakupwelepwetaaa bora tu usisome. Readers Be Aware. Afu sio kwamba mi naandika mada ili uipende, walaaaaaa, mi naandika mada hata usipoipenda utanifanya nini kwa mfano na ndio ni shaandika? Mtu mzima sitishiwi NYAU hata siku moja kama vipi soma nyuzi zingine.

Maybe you think I am different, well I was neverborn different. Life made me different, enzi hizo kina Jay Mo na Nura Baba Styles wanaliendesha hili jiji. Watu tumetoka makwetu na kupewa wosia mzitoooooo, mrefu, mzazi anajimimina mpaka unaona kweli kamiminikaaa. Mifano kibaoooo. Mzazi kanipeleka Hostel wosia mzitooo, Mwenyewe nawaza if the boys will really be cute and interesting kwa mda huo wa masomo. Naenda kwa mawazo kishenzi maana ugenini ugenini. Simjui hata mtu maskini ya mungu. Basi nikakutana na mdada mlokole akaniambia hawa watu wa humu sio, hapo anijui kama mie sio kabisaaa, ananipa ushauri kinomaaa, namsikiliza kama wa maana. Usiku huo huo nikasikia nani anataka kwenda bills? Mmmmh! Najitahidi kumkemea shetani wapi. Nikasema na huu ugeni i am in no position to pass some friends nikajiingiza kwenye kundi. Akabakia mlokole mmoja na wadada 2 tu. Basi kubwa la maadui (kama sijarithi mie hili jina) akasema the bill is on me. Nikasema ukisikia mabest ndo hawa. He kufika kule mwenzetu VIP tunapita tu mnakaa bills kidogo mnahamia muchmore , mara mnaenda coco, yani usiku unakuwa mdogo si kidogo. Ndo ubesteeee ulipoanzia.

We were young, happy, full of life and there is nothing we couldn't do, absolutely nothing. I really miss my girls. Usiku tumelala saa 2 tunangoja saa 5 tukajiachie kufa kwaja katika story ikatokea hoja umri huo most of us were 16,17,18 wachache mtu umekula vichwa vingapi (Midushee). Basi kitanda kwa kitanda unatoa biography yako ya miboloyanki. The larger the number, the cooler it was, and the more respect you earned. Duuuuh! Kubwa la maadui akawa anaongza at 5 heads, analalamika mi sipendi kweli, men like to have fun, afu mdada ukitaka kujienjoy kidogo they label you names, not to mention getting dumped for virgins. Aaaaaaarrrrgh! mara bibie mmoja akadai yeye Virgin. Umri huo wa 17 hana head count! Mmmmmh! Binafsi niliona wivu na kujutia that could be me, damn ila ikaishia hapo. Kumbe n wale wengine wivu uliwashika hatari. Ikaanza kampeni leta usawa. Since you cant be clean yourself, you make sure your friends are dirtier than you, so when you think about your self you get a relief. Basi ndo kila mtu kustukaaaaa! Loooooh! Bibie unataka ukaitoe hospitali? Hahahaaaaa! Kumbe tunakaa watoto humu eeeh. Alaaaaa! Kanajitetea mie bado sio kwamba sitaki sijapata mtu a,mbae ananifaaa. Mmmmh! Ikaanza kampeni patikanamtu kwa gharama yoyote.

Basi ndo kila mtu kumhook up mara kaka, mara jirani, mara uncle, mara cousin, mara nini, dada wa watu hataki. Ana hela, baba yake ana hela, so she wanted a ROMEO AND JULIET story sio endekeza njaa. Siku hio club akaja mkaka, gari ikawa ndogo haitoshi ikabidi abebwe na huyo kaka. Mi sikwenda nilikua na kichwa changu binafsi. Nikarudi kabla yao hoi, hangover, nikajilaza. Saa 10 Virgin ananiamsha Lara, Lara i found somebody i like, he is hot, so cute, blah blah blah! Usingizi ukanikatika. Ndo kumchimba umekutna nae vipi? Oooh kuna muhindi kazi ya kubwa la maadui ndo alikujana ile kampani ya muhindi. Nikajifanya i happy for you, waaaoh! So sweet, our little girl is growing up. Moyoni nikasema tu masikini swala ashatekwa na chui, kampani ya huyo muhindi wote ni bad news! Hamna mwenye afadhali. The affair was hot as expected. Basi kila akirudi i dont why ila kila mtu alikuw akimuuliza umempa zabibu hizo? Hahahahaaaa! Anasema bado im still thinking about it. Watu tunabakia aaaarggggh! Damn you girl! Finally siku hio hakurudi. Tukanunua wine kabisaa kusherekea mtoto kakua, mwali kapata bwana. Cha ajabu we of all days that day we never asked and she never said a word but we all new she was no more better than us anymore. Ndo kuwa mjuajiiii, style zote saba sota, sijui nini anazielezea yeye. Mmmmh! Mwanafunzi kuwashangaza walimu.

Tamu yoyote ile haikosi chungu, wakagombana na Romeo, bibie wiki kalala moja haikai, mbili haisimami. I gave him everything, i was a virgin when i met him. (so were we girl! welcome to the world loser!).When two people love each other and they cant make that work, that is a really tragedy. It was getting worse, mtu hasomi, hatoki usiku, hali, ikabidi kikae kikao cha dhararula. Bwana bibie sikiliza hapa umkuja kusoma, hivi vibwana vipo tu, yule ndo keshapepea, you loved him n all lakini its time to move on. Tafuta bwana mwingine, in the longrun you will figure out they are all the same anyway. Ukipata bwana mpya atakusaidia kumsahau wa zamani. Basi ndo kupata nafuu. She had her share of men, mpaka shule ikaisha kila mtu akaenda kubweka kwao. Ikaja shule tenaa. Mwanafunzi akageuka mwalimu, wakaja wageni mwaka wa nyuma nao kama kawaida usafi kwenu humu mmoja akioza wote wameozaaa. Ikawa ndo maisha mla kala leo, mla jana kala nini. Siku ya mwisho shule ndo imeisha sasa ikatokea tu kuulizana, tuko wote na wadogo zetu pale, why mtu una make choices you make. Mi nikasema bwana i wont be young forver, so najua best years of life zinaishia 29. So as long as age is in my favor siwezi kutofanya what makes me happy. Baadae im 80, worthless, all that are left are memories nimejtunzaaanakuja kugundua i never lived at all hapana kwa kweli. I am living fully, if i like a guy i go out with him, i have fun, some adventure, learn new things, live like a teenager is supposed to live (Ma teenager i could neve be wronger with this theory, i was young, selfish, naive and stupid but now i am older, wiser and matured to tell you this is not a way to go through life). Ikawa kila mtu anatoa sababu yake ilimradi kukuche kila mtu akabweke kwao.

Several years don the the path of life, siku hio Virgin kanipigia simu, mmh! Ndo kuniuliza how are you copping with life? Nikamwambia fine! Akaniuliza NO REGRETS? Nikamjibu well i try to look at the positive side of life and let the by gones be by gones. Basi ndo kuniambia you destroyed my life mjue! Tobaaaaaaaa! Nikamuuliza HOW? Akaniambia of all people i trusted you the most, and when you said it was cool i believed you not them! When you told me it is time to gow up i believed you. Daaaaaaaaah! Chupi ikaibana. I have never felt eviler and terrible about my self. Nikabakia tu namuuliza WHY ME? Why did you believe me of all people? Akasema sababu i never believed you could hurt me of all people and it was in you not to care what happens to me. Daaah! Roho iliniumaaa si utani. Nikamuuliza what happened,why now? why are we having this speech now? It has been 8 years for fuc.ks sake! Akaniambia Romeo married last week! Gaddemmm! I still love him you know. Nikawa najimimina tu kuomba msamaha japo kosa sina, kiubinadamu tu. Ndo kuniambia kumbe Romeo alikuwa anampenda bado, kahangaika akataka kuja kumoa mwishoni, manak kabweka huko wee, hakupata sealed tenaaaaa, ndo kumrudia bibie sasa aoe kabisaa na bibie never got over him, kurudiana ikawa sasa moyo umefika nyumbani, soul mates. Sasa kuchunguza Romeo akagundua bibie alifungulia mbwa, walivoachana, Malasia huko, tafrani. Dunia ndogo hii. Ndo kumwacha jumlaa na kuoa mke mpembaa, tena mtoto wa f.4 kitu sealed. Yale yale unakuwa dumped for virgins! Hahahaaaaaaaaa! (Nacheka kwa masikitiko)

Sometimes we are mad because deep down we know we killed ourselves all others had to do is to give us a rope, the rest was all us. Ndo ilivotekea. Mjifunze kwa Princess Kate Middleton, aliachana na Prince William miaka kibaooo, lakini hakufungulia mbwa, kwa kisingizo cha kupunguza mawazo, sijui kulipa kisasi, ku move on, akhaaaaaaa! Alijitunza vile vile mwishoe Prince karudi akaona hamna uharibifu uliotokea kaoa. and they will live happily ever after. Angesema afungulie mbwa si ingekula kwake??????? Makwaruzano yapo jamani lakini busara ya kudeal na makwaruzano ni muhimu sanaa.

Na wewe uli ni pm nimeku inspire na ile issue ya mtu mzima ACHA ULAFA, shauri yako, fikiria will that really make you happy? Is it what you really want? Au ndo usione kichaka? Usiige kunya kwa tembo, na hili bandiko ni special for you kabla hujatoka namtu mzima na wewe, maana nilikosa cha kukujibu. MO11 sababu umekubali kupoteza utu wako mradi tu ucomment mada zangu, maybe they are really important to you. Sasa nakuruhusu rasmi u hate kwa uhuru. Sikutukani tenaaa. Na unisamehe kwa matusi ya zamani, you can write whatever you want il sio ndo utaaambe uzi mzimaaa. (This offer is valid for MO11 only mwingine shoboka nikuoneshe kazi)

This has been sufficiently awkward, see you guys next post
 
Ila uteenage acha kabisa.mie aliyenibikiri alikua anaitwa mtanga official name nimesahau alivyoleta habari za ajabu nikatupa kule nikaanza group sex cheza sana,kuja kushtuka ni regrets tupu natamani teenage wangekua wanasikiliza ushauri na kutolipuka.
 
If we could change the past...

Ila Lara inaonekana we ulikua mtata balaa lol maana mie enzi nasoma nilikua mpole balaa, na shule ukisema we ni bikra wale wadada much know wanakuchekaje sasa... nilikua na marafiki cool so kagroup ketu kalikua safi..., mwenzetu mmoja akapata boyfriend sie ndio tukajaga kufuatia baadae huko

Nimekuja chuo ndio nikaanza hizo mambo, mie muoga wa sex balaa naweza kufanya yote ila ila swala la kufanyana naliogopa vibaya sana, huwa nawaza tukifanya then what next... huu utamu wa dakika chache utanifanya nijute bure... imenisaidia kiasi fulani maana la sivyo ningekua na list ndefu saana
 
Teenage huwa wanalipukwa na hisia za ngono zinazopata msukumo wa homoni zinazochemka kwenye miili yao...ni kundi ambalo lipo kwenye kwenye mapenzi likiwa halijui nini maana ya penzi wala wanatafuta nini ndani ya penzi...wapo kwenye mapenzi kwa ajili ya kutimiza matakwa ya homoni zao na sio mioyo yao...
FOOLISH AGE...
 
ila uteenage acha kabisa.mie aliyenibikiri alikua anaitwa mtanga official name nimesahau..

alivyoleta habari za ajabu nikatupa kule nikaanza group sex cheza sana.
kuja kushtuka ni regrets tupu.
natamani teenage wangekua wanasikiliza ushauri na kutolipuka.

Hahahahaaaaaaaa! Nacheka kwa masikitiko! Bora teenager dogo limesoma nimepata mtu mzima, nalo limekuwa inspired kusaka mtu mzimaaa, vijana wanazingua. Mmmmh! Yaaaninimekosa hata cha kumjibu. Kwa watu wazima wamekuwa TREND? Hahahahaaaa! Yani siuji hata nisemaje.
 
Sijawahi kucomment kabisa i always pass by bt smtyms napenda sana wat u post its true ulichosema ujana maj ya moto
 
If we could change the past...

Ila Lara inaonekana we ulikua mtata balaa lol maana mie enzi nasoma nilikua mpole balaa, na shule ukisema we ni bikra wale wadada much know wanakuchekaje sasa... nilikua na marafiki cool so kagroup ketu kalikua safi..., mwenzetu mmoja akapata boyfriend sie ndio tukajaga kufuatia baadae huko

Nimekuja chuo ndio nikaanza hizo mambo, mie muoga wa sex balaa naweza kufanya yote ila ila swala la kufanyana naliogopa vibaya sana, huwa nawaza tukifanya then what next... huu utamu wa dakika chache utanifanya nijute bure... imenisaidia kiasi fulani maana la sivyo ningekua na list ndefu saana

Chuo si mbibi kabisaaa jamani? Hahahahaaaaaaaaa! Si ulipiga mayoweee siku hio maana mifupa imekomaa si mchezo kama kuku mzee! Hahahahaaaaaaaaa! (Im just kidding you) Bwana weeee si ilikuwa ile likizo ya Form 4 biashara lazima iishe. Miaka 16 sijui 17. Siku hizi The bar has been raised kitu FORM 1, 13 ears damn!!!!!!!!!

Watu wakifika chuo bikra first year wana haha kutafuta vibwana wazitoe fasta fasta! Hahahaha! Wenzao tushakuwa kungwi. Afu kuanza mapema sio kuwa na list ndefu. You might start early but in stye! Na unaweza kuchelewa kuanza basi ndo ukadataaa hatariii na kufungulia mbwaa.
 
Hahahahaaaaaaaa! Nacheka kwa masikitiko! Bora teenager dogo limesoma nimepata mtu mzima, nalo limekuwa inspired kusaka mtu mzimaaa, vijana wanazingua. Mmmmh! Yaaaninimekosa hata cha kumjibu. Kwa watu wazima wamekuwa TREND? Hahahahaaaa! Yani siuji hata nisemaje.

Sometimes watu wazima dawa. hata mie aliyekuja kuniamsha usingizini alikua 30yrs mie hapo 18 ndo akaniweka kwenye mstari nikawa what I am. pamoja na yote that past memories are always in my mind and I hate em.
 
sometimes watu wazima dawa. hata mie aliyekuja kuniamsha usingizini alikua 30yrs mie hapo 18 ndo akaniweka kwenye mstari nikawa what I am. pamoja na yote that past memories are always in my mind and I hate em.

Hahahahaaaaaaaaaa! Nacheka tu kwa masikitiko leo. Maana hata nikisema nisem nini IT IS TOO LATE.
 
If we could change the past...

Ila Lara inaonekana we ulikua mtata balaa lol maana mie enzi nasoma nilikua mpole balaa, na shule ukisema we ni bikra wale wadada much know wanakuchekaje sasa... nilikua na marafiki cool so kagroup ketu kalikua safi..., mwenzetu mmoja akapata boyfriend sie ndio tukajaga kufuatia baadae huko

Nimekuja chuo ndio nikaanza hizo mambo, mie muoga wa sex balaa naweza kufanya yote ila ila swala la kufanyana naliogopa vibaya sana, huwa nawaza tukifanya then what next... huu utamu wa dakika chache utanifanya nijute bure... imenisaidia kiasi fulani maana la sivyo ningekua na list ndefu saana

Nimerudisha moyo bado utanikimbia?
 
cjawaj kucomment kabisa i always pass by bt smtyms napenda sana wat u post......its true ulichosema ujana maj ya moto

Haahahaaaa! Kweli naona una post ya kwanza. Karibu bwanauwe unatoa maoni yako mara moja moja kama hivi.
 
those days.....foolish age....
but better uzibuke at teens kuliko kuzibuka at mid an late 30th....mbona utajuta...

Uzeeni huko utazibuka na nani? Kwanza quality ya vidume iko chini mbayaaa. Hao ndo wale I AM SAVING MY SELF FOR ONLY THE BEST. 30 hii hapa unastukaa hujaishi kabisaa na hao best hawpo! Hahahaaaa! Nacheka kwa masikitiko.
 
ngoja na mie nicheke Hahahaa kubwa nashukuru huyu wa sasa hafahamu lolote manake nilivyo decent akipata my past anaweza patwa na kifafa.

Hahahahaaaaaaaaaa! Hamna bwana! YOU GOT AWAY WITH IT, ONE OF THE LUCKY FEW! The past is just a story we tell ourselves.
 
Uzeeni huko utazibuka na nani? Kwanza quality ya vidume iko chini mbayaaa. Hao ndo wale I AM SAVING MY SELF FOR ONLY THE BEST. 30 hii hapa unastukaa hujaishi kabisaa na hao best hawpo! Hahahaaaa! Nacheka kwa masikitiko.

Sasa huyo akigongwa halafu akaachwa huwa wanakuwa wagawaji haswaaa hata mtoto wanaweza kumbemenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom