Aagh! Nashindwa kuchangia coz sijaelewa umelenga mabaya dizaini gani! Kwa mfano:
kuua au kumuumiza mtu?
Kuharibu mali ya mtu?
Uzinzi na ubakaji?
Au mabaya gani hayo?
Kama ni yote... Dah! Swali lako litakua na majibu mengi sana! Pengine hata hukulenga hapo....!
????!
Shida inakuja pale ambapo unaweza ukaungua bila kushika moto let say umelala suddenly moto ukawaka na ukaungua, pia kwenye mfano wako wa pili kuna watu wanapata HIV/AIDS apart of having sex.. where is cause and effect on these??
Kwa sababu kudura inafundishwa na watu.
]Kudura inajulikana, imeandikwa na watu na mpaka kupewa jina na watu.
Just goes to confirm that the entire "kudura" thing is a farce.Kama haijulikani what's the point of invoking it? Kama haijulikani utajuaje kwamba inashinda jitihada?
Unajuaje hilo bila kuijua kudura kama unavyosema wewe mwenyewe?
Si kweli.If you sleep around without protection in an HIV ridden population, you will get HIV.
Si kweli.I shun absolutism
Let say umejaliwa kupata mtoto then ghafla akafariki!!
Shida inakuja pale ambapo unaweza ukaungua bila kushika moto let say umelala suddenly moto ukawaka na ukaungua, pia kwenye mfano wako wa pili kuna watu wanapata HIV/AIDS apart of having sex.. where is cause and effect on these??
Shida inakuja pale ambapo unaweza ukaungua bila kushika moto let say umelala suddenly moto ukawaka na ukaungua, pia kwenye mfano wako wa pili kuna watu wanapata HIV/AIDS apart of having sex.. where is cause and effect on these??
Si kweli.
Si kweli.
Watu wanafundisha uwepo wa kudura lakini hawajai-define ni nini
kuandikwa habari zake hakumaanishi kujuulikana kwake. Watu wanaandika kuhusu Mungu, wanajua?
Vitabu vinasema
" kuna mambo yapo nje ya uwezo wa mwanadamu" (jitihada haiondoi kudura kwa mambo hayo)
"mwanadamu hana uwezo wa kujua ya ghibu" (binaadamu hawezi kuyajua mambo hayo ni yepi)
Hivyo afanye yote kwa jitihada zake zote ili "aishi kama ataishi duniani milele"
Akizingatia kwamba "kulla shay-in swababa" (kila jambo linalotokea linasababu)
Usiposoma, utafeli
Ukiendekeza ngono zembe, unajiongezea uwekano wa maambukizi
Usipompindua Sultani, ataendelea kukutawala
*Ninachoona "jitihada haiondoi kudura" inatoa moyo kwa wale waliojitahidi lakini bado hawakufanikiwa kwa njia ile. Wajaribu tena
Somo la kwanza katika darasa la kudura ni definition. Kama hawaja i define hawawezi kufundisha. Tunarudi kulekule, it is a farce, a myth perpetuated wittingly or unwittingly, but a myth nevertheless.
Kutukujua kuhusu jambo haimaanishi kuwa jambo hilo halipo.Precisely my point. Mungu is another one of those myths.
Afanye jitihada ya kujua kwa sababu ameambiwa "Soma"Kwa nini afanye jitihada wakati jitihada haizidi kudura? What if hajaandikiwa kujua na anapoteza wakati miaka yote kutaka kujua? Kama kudura trumps all si akae tu atajua kwa kudura maadam kaandikiwa kujua?
Na sababu yake sababu yake nini? At some point sababu zitaisha
...........
This is hardly kudura, this is cause and effect.
Jitihada haiondoi kudura, far from kuwatia moyo wale waliojitahidi na kufeli wajitahidi tena, inawaambia hata wale ambao hawajajitahidi mara ya kwanza wasijitahidi, kwa maana kama wamejaliwa kudra, watafanikiwa kwa kudra tu, jititihada haitawafaidisha kama hawajajaliwa kudra hata wajitahidi vipi.
Somo la kwanza katika darasa la kudura la wapi?
Darasa la kudura linasema kudura ni yale mambo ambayo mwanaadamu hana uwezo wa kuya-control.
Si mambo yote. Na mambo hayo mwanaadamu hana uwezo wa kuyajua kwa sababu hawezi kujua ya ghaibu.
Finito.
Kutukujua kuhusu jambo haimaanishi kuwa jambo hilo halipo.
Afanye jitihada ya kujua kwa sababu ameambiwa "Soma"
Ameambiwa "Kila mja ni wajibu kutafuta elimu"
Ameambiwa "Anaejitahidi atafanikiwa"
Ameambiwa " Ishi duniani kama unataka kuishi milele"
Kwa hiyo hana jinsi, bali kujitahidi. To make the most of his life while still living
Hawezi kukaa kusubiri kudura kwa sababu hajui kudura ni ipi.
Ndio, hiyo ni cause and effect sio kudura
Kila jambo lina sababu (cause and effect)
lakini yale ambayo yanatokea by "causeless spontaneity" - kuazima maneno yako - ndio hayo ya kudura
Only in a pessimistic view, isiyojua background ya kudra
Ukae usubiri kudra ufanikiwe ulijuaje kama kudra yako ni hiyo?
Hivyo, anaeelewa maana ya kudra hawezi kukaa na kusubiri mafanikio. Kwa sababu huo sio msingi wala maana ya kudra
Only cause can be probabilistic, but effect is always real though not actual; control cause and you'd have eliminated the element of uncertainty and therefore make the effect actual. Every person is a drifter in the sea of life (probabilistic nature of life) as long as he is not behaving in manners which adjusts tomorrow's events to occur to his own advantage. Unavuna usichotaraji kwa kuwa husimamii upandaji.I shun absolutism as being mental arrogance, so naturally anything that talks about "everything" is suspect.
I would like to look at things in context.
The notion of cause and effect, at the fundamental fabric of spacetime at least, does not exist as a reality (the double slit experiment established the probabilistic nature of quantum phenomena a long time ago).Therefore, it is an illusion borne out of the poverty of the limited experience of our scale of the universe.
Now of course everything is in context, a lot of things happen for a reason.If you touch fire you will burn, there is cause and effect there.
If you sleep around without protection in an HIV ridden population, you will get HIV.
There is cause and effect there.
But break things down to a sufficiently low level scale of the universe, everything becomes probabilistic and causality breaks down, because time after all is not real, but a deep illusion.
Only cause can be probabilistic, but effect is always real though not actual; control cause and you'd have eliminated the element of uncertainty and therefore make the effect actual. Every person is a drifter in the sea of life (probabilistic nature of life) as long as he is not behaving in manners which adjusts tomorrow's events to occur to his own advantage. Unavuna usichotaraji kwa kuwa husimamii upandaji.
Nilikwisha kupa definition hiyo ya kudura, na bado ukauliza, nikajua labda hiyo huitaki.Darasa lolote la maana la kudura.
So kudura ina definition after all? I thought you said haijulikani?
Mwanadamu atajuaje mambo gani ana uwezo wa kuya control na yapi hana?
Umejuaje kwamba hawezi kuyajua?
Hutaki kuwa hapo ndio mwisho wa definition ya kudura?Hardly.
Asome kwa sababu hajui kudra iko wapi.Asome ili iweje na kudura trumps effort?
So kudura does not trump effort after all.
Kutaka kuishi duniani milele, kumehusu na nini na kuwa irresponsible kwa mazingira?That would be clingy and environmentally irresponsible,
....not to mention cruel to those who did not receive the grace of a long life.
So kudura is not all that is cracked up to be.
This contradicts "kila jambo lina sababu" as posited above.
Dude feels like being anti-pope.
Futility is right, the premise of the question is a futile myopic concept that one has to write to an audience, and that that auience must be understood and catered to, which in itself is a hindrance to expression and guaranteed to cut off others.
Say for example, one objects to my writing in English, if that indeed is what is bing objected to here.
There are concepts that do not have proper words in Swahili. There are concepts I do not know how to express myself about properly in Swahili. There are people who do not understand Swahili properly following this thread. So why should I limit myself with concerns that are futile anyway?
What else? The predilection to defer to the etreme minuscule in understanding the universe, there are valid arguments that the miniscule provide a window to reality that is distorted in our large scale observation. It follows then, when this window is exposed responsibly and with painstaking caveats to allow for context as done above, there is an opportunity to learn that absolutism is illusive and should be taken in context.
I am failing to see a serious critique, aside from the obvious garden variety proclivity for some members to self-appoint themselves as the anti-pope.
Those who would understand, wouldn't want me to budge.
And those who want me to budge, wouldn't understand even if I shifted a whole continent.
1. Atakayeelewa.
2. Ambaye hataelewa lakini ana uwezo wa kuelewa na kuuliza asipoelewa aeleweshwe.
3. Posterity. Future digital archaeologists wasije kushangaa forum nzima ya Watanzania hakuna hata mmoja aliyeenda Planckscale on a post.
Definitely not for the timid and pale.Neither the mentally frail.
You are simply obsessed by Einstein's theory of relativity without actually grasping the underlying principles of the same. Are you aware that an effect can occur even before its cause? that a glass window can be seen shattering before the bullet which breaks it is fired? that someone can travel at such a speed which would make red lights appear green? Here we are trying to connect thories with real life to explain life itself instead of dealing with the same in obscurityWhat level of granularity are you referring to?
The entire concept of the centrality of cause and effect is rooted in the prejudiced absolutism that time is absolute and unidirectional. Einstein has demonstrated that it is not so about a hundred years ago. Sir Arthur Eddington verified experimentally in 1919 and ever since all the attempts to disprove this have proved futile.
If you can't even guarantee a unidirectional timeline as being absolute and universal, then cause and effect cannot be universal as it is rooted in a unidirectional timeline.
Again, context is king. You could conceivably argue for cause and effect at some illusive midscale level of the universe that is biased to some egotistic anthropic origin, but this could hardly claim to address the issue exhaustively and capture the fundamentals of the matter.