matetemeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo inaongezeka kwa kasi, waliofariki yafikia 920 kufuatia matetemeko makubwa mawili yaliyofuatana Venezuela

    Idadi ya vifo inaongezeka kwa kasi Mapacha wawili wa matetemeko ya ardhi nchini Venezuela yamesababisha vifo vya angalau watu 920 na wengine zaidi ya 3,000 kujeruhiwa. Nchi hiyo tayari ilikuwa imekumbwa na mgogoro wa kisiasa na kifedha. Waokoaji wanakimbizana na wakati ili kuwatafuta...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mfululizo wa haya matetemeko HANANG, wataalam chukueni hatua za haraka

    Kumekuwa na wimbi la matetemeko hapa HANANG Kutokana na majanga yaliyotukumba mwaka 2023, ya maporomoko ya tope Toka mlima Hanang, bado wananchi wanahofu ya kukumbwa na janga lingine. Hivyo basi serikali tumeni wataalamu waje wafanye uchunguzi.Tuchukue tahadhari kabla ya hatari
  3. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Historia ya Jiolojia ya Matetemeko ya Japani

    Japani ni nchi ambayo iko kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kijiolojia. Kijiolojia, Japani iko katika eneo linaloitwa "Pasifiki ya Moto" au "Mzunguko wa Moto wa Pasifiki". Hii ni mstari wa shughuli za volkeno na tetemeko la ardhi ambao unaenea karibu na Bahari ya Pasifiki. Kanda hii...
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli nchi yetu inakosa vifaa vya kutabiri matetemeko ya ardhi na volkano kutoka milimani?

    Aisee, ni uzembe wa hali ya juu sana. Mamlaka ya hali ya hewa ndiyo taasisi pekee iliyotakiwa kuongezwa nguvu na kuwezeshwa kipesa kwa kuwa ndiyo ambayo hushikilia uhai wa watu na wanyama kwa ujumla. Inasikitisha sana. Mpaka inafikia hatua Mlima Hanang unaleta madhara makubwa kwa watu na...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni eneo la bonde la ufa, ujenzi wa majengo uzingatie tahadhari za matetemeko ya ardhi

    Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu. Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka. Pia soma -...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matetemeko ya Ardhi yaliyoua watu wengi Zaidi Duniani ndani ya Miaka 10

    Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku. Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
Back
Top Bottom