dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,130
- 49,391
... sure! Ni utaratibu uliokuwepo tangu enzi za Gavana/mkoloni. Baada ya uhuru utaratibu huo ukaendelea nadhani pia ni utaratibu kwa nchi zote at least za Commonwealth. Nina mashaka huko tuendako utajengewa zengwe Katiba iwe amended kurekebisha maana unawasumbua sana wakubwa "kutekeleza majukumu yao kwa uhuru". Ha ha ha!Kudadadeki! Aliyempa CAG mamlaka ya kikatiba ni kiboko.