Dodoma: Hatimaye taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), yawasilishwa rasmi Bungeni

Mtu wa jikoni, jiko la bunge!!?, , sisi tunataka mtu kutoka ofisi ya spika na siyo jikoni !!.
Siku nyingine ukichelewa jaribu kupitia uone wenzio wamechangia nini, huenda swali ulilojiuliza wenzio washajiuliza na kujibiwa

Ifike hatua muiheshimu jf kwani ndio sehemu pekee mtu anakuwa huru na kufanya vitu kama yeye na sio mifumo, kanuni wala taratibu za kazi take.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Terrible Teens, kwanza asante sana kwa hii. Pili samahani sana kuku doubt pale mwanzo, sasa nimekukubali sana. Tatu kiukweli JF tuna hazina kubwa ya watu, hizi pen names zinaficha mengi, kuna watu humu hatuwajui who they are the real ones, kumbe ni watu wakubwa, nyeti na watu wa maana sana. Heshima mbele.

Wito kwa wana JF Wenzangu, msimdharau mtu yoyote humu, huwezi jua nani ni nani!.
Big up jf, big up jf members.
P
Nikusgukuru kwa hili la kulifuatilia na kujiridhisha na hatimae kuomba radhi,, ubarikiwe na umeonyesha ukomavu wa akili saana katika hili.

Mbi kwako
Mwaka jana tulikutana sehemu lakini nilipanga tuongee mawili matatu nikapitiwa aseee

Anyway nitakutafuta asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Terrible Teens, kwanza asante sana kwa hii. Pili samahani sana kuku doubt pale mwanzo, sasa nimekukubali sana. Tatu kiukweli JF tuna hazina kubwa ya watu, hizi pen names zinaficha mengi, kuna watu humu hatuwajui who they are the real ones, kumbe ni watu wakubwa, nyeti na watu wa maana sana. Heshima mbele.

Wito kwa wana JF Wenzangu, msimdharau mtu yoyote humu, huwezi jua nani ni nani!.
Big up jf, big up jf members.
P
Akhasantee kwa kulitambua hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada labda hukuelewa au we ni mvivu kuelewa, alichosema SPIKA ni kuwa hatafanyakazi na Prof. Asaad na sio Ofisi ya CAG.
 
Isome hapa Report
View attachment 1067423

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
MKUU UKISOMA KUANZIA MWANZO TU UTAONA JINSI INCH INAVYOKWENDA NA HALI HALISI ILA SIDHANI KAMA WABUNGE WETU WANAWEZA SOMA HZO PAGE 254 KWA UFANISI ZAIDI NA KUTOA HOJA NA MALALAMIKO STAHIKI KWA SERIKALI YETU.
 
1067436

Mzigo wa 2017/2018 umesainiwa na uko kwa website!
 
Vipi kama mhadhiri amecompromise?willingly or by un due influence,or may be even coercion!!
This guy has breached the constitution umpteen times,kwa nini hii anashindwa..fingers crossed
Hold on Hold on....

Ngoja nitafute Kamusi kwanza!!
 
mtoa mada labda hukuelewa au we ni mvivu kuelewa, alichosema SPIKA ni kuwa hatafanyakazi na Prof. Asaad na sio Ofisi ya CAG.
Taratibu mkuu. Hivi ofisi ya CAG inaongozwa na nani? Ni nani aliyesaini report watakayoijadili wakati wakifanya kazi na hiyo unayoiita ofisi ya CAG? Who is CAG? Without CAG Prof Mussa Assad, there is no CAG office. Labda tumuweke pembeni kwanza huyu au ajiuzuru kama tulivyokua tunapenda afanye, tumpate mwingine.... Lakini kwa sasa NI LAZIMA TUFANYE KAZI NA CAG Prof Mussa Assad. Pole sana mkuu, tukubali tu maana hakuna namna nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom