Dodoma: Hatimaye taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), yawasilishwa rasmi Bungeni

Huyu anayepotoshwa , hana akili timamu kiasi cha kuweza kutambua hili ni sahihi na hili sio sahihi ?
Yaani umenena. Huwa siwaelewagi hawa wafuata upepo inamaana huyo malaika ni mbulukenge kiasi cha kupotoshwa kila kukicha?? Ajabu kila sifa nzuri anataka apewe huyu Kiongozi wa malaika lakini anapoharibu tu eti anashauriwa vibaya lol!!. Niwakumbushe tu hawa wanaojifanya kumtetea kuwa alishasema Ukimshauri ndio umeharibu kabisaaaaaa yeye anapereka nchi mbere na kama kuna mtu anataka kumkwamisha kwa kumpa ushauri au kwa namna yoyote atakwama yeye, tupo kwenye raiti traki, ndugu zangu watanzania mniamini.
 
Baunsa feki kituruma analaana na ataaibika kwa udhaifu wake step by step,anashush Hadhi ya cheo alichobahatisha.
Ila kina Assad wanamisimamo kinoma na hili ndo liprofessa la ukweli,wazenji hawanaga unafki na hawana makuu hata ukimfkuza kazi anakula urojo analala.
Sasa kwanini tusiyaite dhaifu kama yamekaa masaa yakalipana kodi zetu yakajadiliii mwishowe yanapokea kazi yake hahahahaaaaa. Hakuna haja hata kuyaskiliza yakijadili.
 
Baunsa feki kituruma analaana na ataaibika kwa udhaifu wake step by step,anashush Hadhi ya cheo alichobahatisha.
Ila kina Assad wanamisimamo kinoma na hili ndo liprofessa la ukweli,wazenji hawanaga unafki na hawana makuu hata ukimfkuza kazi anakula urojo analala.
Sasa kwanini tusiyaite dhaifu kama yamekaa masaa yakalipana kodi zetu yakajadiliii mwishowe yanapokea kazi yake hahahahaaaaa. Hakuna haja hata kuyaskiliza yakijadili.
Kwani prof asad ni mzenji?
 
Mkuu Terrible Teens, tunaomba source vinginevyo huuni uongo.

Unless useme taarifa itawasilishwa leo na sio kusema imewasilishwa leo.

Source ya Kuwasilishwa kwa taarifa ya CAG ni order paper ambayo huwa inaanzwa kusambazwa saa 2:00, saa hizi saa 2:00 taarifa hii umeipata wapi?.

Uwasilishwaji wa Taarifa ya CAG, unafanyika kwa uwazi. Bunge linaanza saa 3:00 asubuhi, hivyo kama ni leo tutaona.

Na taarifa hiyo ya GAG ikiishapokelewa tuu mezani, hapo hapo taarifa hiyo inapandishwa online kwenye website ya NAO na kwenda viral.
P
majibu umeyapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo yale maandamano hayatakuwepo sasa. Bora tutulie mikiki mikiki yanini?
 
This is the time of truth,It will make us free,sooner the latter.
leo haogopwi mtu ,hakuna kigugumizi, utatwambia ni vipi mashirika haya ya serikali yanaendeshwa kwa hasara? MWALIMU NYERER YALIMSHINDA NA ALIPO KUJA MKAPA AKAYAUZA YOTE, LEO WEWE JIWE ETI UNAYAANZISHA TENA ,SI MCHONGO MPYA HUO WA WIZI ?
ASSAD PASUA JIPU BABA .MAANA JIWE ANASEMA HIZI NI ZAMA ZA KUPASUA MAJIPU.HILI LAK E YEYE LIMEOTA MGONGONI.
 
Wadau ,
Nawasilisha mada kama inavyojieleza hapo juu..

Azimio la bunge lilikuwa Ni kutofanya kazi na mtu anayeitwa assaad na be yule aliapa kutopokea report yenye signature ya msomi yule , lakin kilichotokea leo kila mtu ameona na kusikia ..

Na kipindi chote hicho msomi yule alipokua anasakamwa yeye alikuwa mtulivu Sana, na hajawahi kuteteleka hata kidogo ..

Sasa kwa Hari hii tuendelee kuamini kwamba kinadharia bunge Ni imara lakin kivitendo Ni lile neno lenye maneno matatu ??

Au msomi Yule ndio dhaifu maana anajipendekeza kwa bunge ?

Nawasilisha ...
 
Kilichimpata Ndugu Yai ndicho ambacho watakipata MAN U Kutoka kwa Messi hapo baadae!
 
Wadau ,
Nawasilisha mada kama inavyojieleza hapo juu..

Azimio la bunge lilikuwa Ni kutofanya kazi na mtu anayeitwa assaad na be yule aliapa kutopokea report yenye signature ya msomi yule , lakin kilichobaki leo kila mtu ameona na kusikia ..

Sasa kwa Hari hii tuendelee kuamini kwamba kinadharia bunge Ni imara lakin kivitendo Ni lile neno lenye herufi maneno matatu ??

Nawasilisha ...
Huo mjadala hauna tija....... Sasa tunawajadili wezi akiwemo yule aliyejimilikisha Nissan Patrol ya Chadema!
 
Hii movie inanikumbuhsa usemi wa PIERRE LIQUID, kwamba yeye siyo mlevi na katu huwa hatokwagi na CHEMCHEM.
 
Athlete,
Jibu la unachokitaka unalo na sidhani ni sawa kumtupia mzigi Ngosha,
Nani katufikisha hapa?
Jibu ni watu tuliowaamini, tumewaamini wabunge wa Chama tawala ambao huwa ni sawa na "Rubber Stamp" hawana muda wa kuhoji,wao kila linaloletwa meza ni NDIYOOO dawa ni kuhakikisha hawa watu wanakuwa eliminated!!! Unaweza usiniamini,kuwa na wabunge wengi wa CCM ndo kunakotugharimu kama taifa,wao huona kama wanawakomoa wabunge wa upinzani.
Angalia miswaada yote mibovu iliyopitishwa na kuwa sheria,ni wabunge gani wametumia uwingi wao!
Sasa hata hili,issue ilionekana toka mwanzo na walivyopelekewa bungeni ndugu zetu hawa hawana hata muda wa kuhoji,wao ni kushangilia tu!!!
The only solution is eliminating them.
Acha Spika atoke CCM lakini awe na wabunge wachache,then utaona kama ataleta huu upuuzi unaofanyika sasa.
Najaribu sana kufikiria ,hivi bunge la awamu hii linaacha Legacy gani.....(MHh Spika)
mbele kuna giza nene.........................
Mkuu nakubaliana nawe kuwa waliomo bungeni ndio wanatuharibia bunge.Ninachokitahadharisha ni kuwa isijekuwa hao hao wanaoharibu wanafanya makusudi na kuachwa waharibu ili siku moja chombo hiki kipuuzwe na wananchi na wao wapate sababu ya kujimilikisha madaraka ambayo otherwise yalipaswa kuwa ya bunge.
Sasa hivi kuna watu humu wanasema bora tusifuatilie mijadala ya bunge maana ni upuuzi unaendelea mle.
Hii sio sahihi hata kidogo.Ni kulipoteza bunge mikononi mwetu na kuwaachia hao wapuuzi waendeleze upuuzi.Tusikubali hilo.So hoja yako ina mashiko na ndicho kinachotakiwa
 
Wanaojiita Wazazi wetu(watumishi wa umma) wamekuwa kama wanafunzi na watoto (wananchi) tumekuwa Wazazi, kila mzazi anatamani kujua matokeo ya mwanaye na kila mwanafunzi anatamani kujua matokeo yake na jirani yake.

Wastani matokeo yanatisha, watumishi wa umma wamezidi kutuonyesha sisi wananchi kwamba wizi na ubadhirifu ni jadi yao bila kujali kelele za wanaojita wanyooshaji.

Lakini pia hatunyamazishwi bure, wanaotunyamazisha wanajifungia kula na kutoka wamefuta mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom