Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
Dr una majibu ya busara mwehHa ha ha mkuu Aspirin umefikiria mbali sana..ndo maana nkaweka neno kumuuona tu..!! Umenichekesha sana ..
Stereotype effects!
Wahandisi watamu bana, mimi zaman nlikua nawapenda sana madaktari ila nikaja kupata muhandisi yani sasa hivi hao madaktari nawaona kama kaka zangu tu.
Haya, Evelyn Salt, charminglady na wengineo mlipotea njia kwa mabazazi ya kidaktari, njooni msome neno la Mungu kama lilivoletwa kwenu na mtakatifu Toplady. Mkimaliza kusoma mseme "Tumshukuru Mungu"
cc Dr.Mo Riwa kwa taarifa.
Ndo mnavyosemaga
Nimesikia kuna uzi mpya huku mmu
unachosema ni kweli hasa wa sikuhizi..na ni kutokana na mazingira tunayokutana nayo... Ukipendwa na daktari akikuacha huwezi dumu na mtu mwingine(ushahidi nnao) ni wavumilivu mno..
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
Wahuni hao yaani unaumwa jicho Dr anataka akutie vidole kandahari na Gaza strip
anasahau watu wana tabia tofauti....
No, anasahau at the end of the day they are men.
Sema tu mamy..Eve..Madaktari wanajali jamani, muda wote wapo smart....
wanavoujua mwili wa mtu sasa mweeeh
sijui nisemeeee sijui ninyamazeeee
Ila mkuu mabazazi wapo mm kuna mshkaji nimesoma nae ..room yake tulikua tunaita room ya dawa ya usingizi..yaani mkienda mahali dakika tano nyingi kashaibuka na mtu..akija nesi mpya mahali ndani ya siku moja nesi wa watu kashaliwa..Haya, Evelyn Salt, charminglady na wengineo mlipotea njia kwa mabazazi ya kidaktari, njooni msome neno la Mungu kama lilivoletwa kwenu na mtakatifu Toplady. Mkimaliza kusoma mseme "Tumshukuru Mungu"
cc Dr.Mo Riwa kwa taarifa.