Umpe case ya kaposis sacorma chief..alafu mnyonyo wa hatari..kumbe badala ya ku-crack wodini yeye anashinda jf..ila usimle kichwa..Dogo tulia, ntakuviringisha usome miaka saba?? Ujue nakufahamu! Tutakutana mwaisela dermatology cube nikupe case ngumu mpaka uombe pooo!
Pm fasta
Kongosho bana..madk wote wanatibu field moja tu..!?aisee tuko tofauti, dr hanistui kabisa, bora mwanajeshi, tena kama ana nyota au komando mie hoi.
au injinia full mafiziksi na mamshimba mie ON kabisa, dr kutwa nzima sampo.zake K? Njawahi kabisa kutamani.
Pm fasta
akiba nakwambia ukiolewa na dr yoyote ..yaani akikupenda akakuoa..hutajuta..japo mapungufu ya kibinadamu yapo lkn mungu ni mkubwa..katoa kwa wengi kitu inaitwa uvumilivu na upole..Kama ulikuwa kwenye akili yangu,natamani Mungu anipe mume mwenye proffesionl hii.sijui kwa nn nawapenda!
let me be ur personal doctor, i will treat you rightanasahau watu wana tabia tofauti....
Tena kwenye maua ya hospital hata mimi ushahidi ninao, babu Asprin
Npo mbali mamy..nahangaika na maisha..ila heshima kwako sana Evelyn Salt..mambo mengine ntakupm..
Kwa hiyo hapa sisi "Walugaluga" imekula kwetu!.Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.
Pm fasta
WENGI malaya tu na walevi saaaanaa
Ha ha ha ha ha...Mkuu Aspirin ..umenichekesha sana dah nmecheka mno..siwezi fanya hivyo..nipo mbali kidogo..nlitaka tu kumjua Evelyn Salt kwa undani kidogo na hata kumuunganisha na network za kimatibabu bongo hapo na vitu ka hivyo na kama akipata dharura(nmemwaga mchele kwenye kuku wengi) ..siwezi fanza hivyo..mtoto mwenyewe pia namuonaga mjanja sana..!! si unamjua..?!huko kwenye PM huko ndo mipango mikakati inapoanzia. Mi nakuangalia tu bwana Daktari. Evelyn Salt akianza kutapika hovyo na kutafuna udongo usije ukakimbia jukwaa. Ushahidi ninao.
aisee tuko tofauti, dr hanistui kabisa, bora mwanajeshi, tena kama ana nyota au komando mie hoi.
au injinia full mafiziksi na mamshimba mie ON kabisa, dr kutwa nzima sampo.zake K? Njawahi kabisa kutamani.
"mamshimba" umenikumbosha prof. Mshimba.
he he he sisemi mengi.....yeah we got true love and we know how to care...on the other side most of us are players.kuwa mwangalifu
Tell me about divorced drs! Huyu mtoa mada hiyo issue yake wazungu wanaisolve kwa fantasy dressing. Na deep inside alitamani kuwa dr alipokuwa mdogo and it just didnt work out
İla hawa wamezidi, wakiwa shifti za usiku wanapigana miti ile mbaya. Nna ushahidi staki maswali
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
Umpe case ya kaposis sacorma chief..alafu mnyonyo wa hatari..kumbe badala ya ku-crack wodini yeye anashinda jf..ila usimle kichwa..
Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.
let me be ur personal doctor, i will treat you right