Doctors

Eli 79 Ni sawa na kusema eti ukiolewa na Mchumi mahiri na nyie uchumi wenu utakuwa mzuri kwa sababu ya weledi wake. Au ukiolewa na Banker basi mtakuwa mna pesa nyingi kwa kuwa mume amesomea kutunza pesa?!

Umeona eeh!! Eti banker akioa basi mtakuwa na pesa...watu wanalinganisha vitu vya ajabu sana!!!
 

Mimi nampa kabintspecial angalizo; akitaka kujua kuwa hawa Jamaa hawafai, a fanya uchunguzi kwa kufanya ifuatavyo;

Aende hospitali nyingi kwa kadri awezavyo ajidai kuwa ana mimba anataka kuitoa; hapo ndipo atajua kuwa hawafai hao jamaa.

Sharti uwe mzuri kabintspecial; ukiwa dunga embe hawatadhubutu. Lakini ukiwa mrembo 99% ya docs wote utakaowaeleza tatizo lako watataka papuchi kwanza ndio wakusaidie.

Hawataki cha miadi; utagegedwa pale pale kwenye kitanda cha kupimia wagonjwa.

Chezea Madocs weye
 
😉😉 usijifiche sana! Jitahidi kutembelea hospitali kusalimia wagonjwa utawapata tuu!

Ukiona akonyezwi undue reception yake ni kama y yule waziri wa...... Ahh nimemsahau, hivi anaitwa nani vile ..........?
 
Hahahah tayari amekwisha anza. Jasiri haachia asili bhana....
Ha ha ha mkuu Aspirin umefikiria mbali sana..ndo maana nkaweka neno kumuuona tu..!! Umenichekesha sana ..
 
Mkuu hayo yalikua mambo ya zamani hatubguani(machief mnisamehe) ila ilikua enzi zile kuna maclinical officer wengi na assistant medical officer wengi(AMO) lkn siku hizi ma -MD wengi hawafanyi hivyo..wengine hatutoi mimba kabisa yaani..hatutaki sikia hiyo kitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…