Kujali ni kitu cha kawaida kwa sababu utaratibu wa maisha unawajenga kufanya majukumu yao inavyotakiwa na ndivyo ilivyo kwenye mahusiano nao, hapa matarajio ni mazuri.
Tatizo sex kwao ni natural process na sio product ya love, muhimu ni uhitaji wake hapa sasa usishangae akitoka na mwingine na asionyeshe tofauti kwako yaani itakuwa vigumu kumgundua halafu hawapotezi muda kutumia mbwembwe nyingi kukupata kwa usiku mmoja.
Wanapride za ajabu ajabu sana sasa ukimkuta ambaye mfumo dume umemuingia vizuri na wewe kiakili hauko fit jiandae kupokea order tu ukiuliza vizuri wengi wanaoa walimu na manesi.
Wanashobokewa sana na wanawake wengi kwa hiyo huwa wana uwanja mpana wa kuchagua, inabidi ufit kisawasawa kwenye ndoto zake ndo akuoe.
Wazuri kutunziana siri, kumjua vizuri ni kazi kweli kweli.
Hawaogopi kuacha wala kuachwa na they can easily let it go, kwa hiyo ukiwa naye cheza kwa step.
Utapata faida ya kuhudumiwa vizuri kiafya wewe na familia yako, kama nilivyosema hapo juu wanajitahidi kutimiza wajibu.
Sijapenda ku-quote hii post, lakini imenilazimu. Nakuunga mkono, ukweli pia mwanamke huwezi kutumia mambo yako eti kumpata doktareee, maana kwao ni za kawaida na wala haziwachanganyi (maadili) na pia naamini huwa wanaziona mara kwa mara, hvyo hawawezi kuona yako ni special. Cha msingi tu ni pale anapotaka mwenza wa kuoa bac, lakini kutishiwa kwamba watapata njaa ya ile mambo hilo sahau. Mi nadhani wanaamua tu, ile mambo wanaipata.