Habari wana JF

Lini mara ya mwisho ulicheza mziki kwa kujiachia na

kufurahia kabisa huo Musiki ulikua unacheza?? Haijalishi

ulikua wapi... Ilikua Chumbani kwako?? Sherehe?? Club??

Mtaani?? ama Kijijini?? Na if you don't mind ni wimbo gani

huo ulikukuna mpaka ukakunyanya kucheza... Naomba tafadhali

saana Ushee na Sie... KIKUBWA... Do you Remember???

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe
.(ADI)