AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
- Thread starter
- #281
Mie nimeshasema tayari...na maneno yenyewe yanaendana sana tu na jina lake.
yaani im delighted kwa kweli...karibu sana Sweetlady ndani ya familia.
Nakusubiri ati....
Itabidi na mie nikalalamike maana wanatuharibia pozi hapa....
Mie nimekufagilia kimoyomoyo sana tu...ngoja nikusanye nguvu nifunguke hapa hapa jukwaani.
Yoooote 9.... Hapo bold.... I DARE you!!! (I know Sweet L will like that)