Do You Remember?

Do You Remember?

Napost via mobile, like zangu nakugongea kimoyo moyo na uzipokee mpendwa!... Barikiwa sana!

Weee Sweet L mbona una maneno mazuri hivi.... naomba undugu.... angalau tuunganishe kwa Sangara... yaani sikuachii... you are so sweet.
 
AJ that was just one of the assumptions .. toa yako we see mayb ni more applicable (after all you are great ni that Psychology part...)

`have no any objection with the assumptions ..lakini had difficulty with women ...ndio main concern yangu ..!!

But I lov this pls keep on updating ..!!
 
Weee Sweet L mbona una maneno mazuri hivi.... naomba undugu.... angalau tuunganishe kwa Sangara... yaani sikuachii... you are so sweet.
Kuanzia sasahv SL na AD ni ndugu wa damu! Sangara akiwa shahidi wa hili tukio... King'asti our beloved wifi ametutoroka, angekuwepo tungemwomba apige vigele gele...popote alipo mwambie namtafuta..lol..
 
... na kama hutajali .. Sweet Lady ...ukiwa umeshamaliza

...pls ..

just say Hi ...Lol Jitihada yote ya uploading and ... you... just like that...
 
Neno moja la mwisho ni Te quiero/ te amo...kwetu belize AD anajua....

Sangara kakangu waniangusha... mimi nianze kutafsiri tena?? C'mon tell her sweet words like her sweet name.....lol
 
`have no any objection with the assumptions ..lakini had difficulty with women ...ndio main concern yangu ..!!

But I lov this pls keep on updating ..!!

He loved women... cherished them... appreciated them.... and somehow over estimated them in some areas.....
 
Kuanzia sasahv SL na AD ni ndugu wa damu! Sangara akiwa shahidi wa hili tukio... King'asti our beloved wifi ametutoroka, angekuwepo tungemwomba apige vigele gele...popote alipo mwambie namtafuta..lol..

Hii post imenifanya niweke LIKE na kunifanya nirushe uzi Complaints wa THANK YOU Button... Welcom in family Sweet L... Sasa King ni wifi yangu... the best and iam hoping wewe utakua the second best...lol... Hivo wewe King ni dadako.....

Sangara.... Hivi Umemsoma Sweetlady?? Mtoto ndani ya Box tayari.....lol
 
Daaah... Am speechless... More than thanx AD...nimekaribia kwa moyo mkunjufu, naiman King atanipokea pia...ubarikiwe kwa kurusha uzi mpya... Waturudishie 'THANKS' btn bana..tunaopost via mobile tunashindwa kutendea haki mauzi ya ukweli kama hili la AD...lol..
 
kumbe kuombana ruksa.
Bac namm jaman.
Tena m mgen kabsa.
Nataka mntembeze tembeze humu.
Karibu mgeni. Kuna mtu anaitwa Katavi kazi yake ni kutembeza wageni.. Kaa hapo hapo sebuleni ngoja nkamwite aje akutembeze!..
 
kumbe kuombana ruksa.
Bac namm jaman.
Tena m mgen kabsa.
Nataka mntembeze tembeze humu.

I am humbled kua your first post hapa JF iko katika this thread... Karibu saana... Hili jukwaa umeingia linaitwa Chit Chat... Kwakukupongeza nakupa zawadi... nakugongea button moja maarufu hapa JF (nje ya THANK YOU button) inaitwa Like.... Sasa naomba uende kwenye hii link (wee Click) Ili u-post kwa ajili ya kujitambulisha na members wengine hasa KATAVI wakukaribishe hapa JF.... Baiza KARIBU SAAANA Mkuu.....
 
Daaah... Am speechless... More than thanx AD...nimekaribia kwa moyo mkunjufu, naiman King atanipokea pia...ubarikiwe kwa kurusha uzi mpya... Waturudishie 'THANKS' btn bana..tunaopost via mobile tunashindwa kutendea haki mauzi ya ukweli kama hili la AD...lol..

My sweet wifi naona ushaanza kunifagilia....lol... Sijui sasa Sangara ndo itakuwaje??

Karibu mgeni. Kuna mtu anaitwa Katavi kazi yake ni kutembeza wageni.. Kaa hapo hapo sebuleni ngoja nkamwite aje akutembeze!.. https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=2508857.

Nimeona nimpatie Link akafungue uzi kule....lol
 
My sweet wifi naona ushaanza kunifagilia....lol... Sijui sasa Sangara ndo itakuwaje??

Nimeona nimpatie Link akafungue uzi kule....lol
Sangara yeye atakudekia kabisaaa...lolz.. Bora umempa mgeni link manake ameingia bila kubisha hodi!..
 
Sangara kakangu waniangusha... mimi nianze kutafsiri tena?? C'mon tell her sweet words like her sweet name.....lol

Mie nimeshasema tayari...na maneno yenyewe yanaendana sana tu na jina lake.

Hii post imenifanya niweke LIKE na kunifanya nirushe uzi Complaints wa THANK YOU Button... Welcom in family Sweet L... Sasa King ni wifi yangu... the best and iam hoping wewe utakua the second best...lol... Hivo wewe King ni dadako.....

Sangara.... Hivi Umemsoma Sweetlady?? Mtoto ndani ya Box tayari.....lol

yaani im delighted kwa kweli...karibu sana Sweetlady ndani ya familia.

Natafuta mkaliman then ntakujibu...

Nakusubiri ati....

Daaah... Am speechless... More than thanx AD...nimekaribia kwa moyo mkunjufu, naiman King atanipokea pia...ubarikiwe kwa kurusha uzi mpya... Waturudishie 'THANKS' btn bana..tunaopost via mobile tunashindwa kutendea haki mauzi ya ukweli kama hili la AD...lol..
Itabidi na mie nikalalamike maana wanatuharibia pozi hapa....

My sweet wifi naona ushaanza kunifagilia....lol... Sijui sasa Sangara ndo itakuwaje??

Mie nimekufagilia kimoyomoyo sana tu...ngoja nikusanye nguvu nifunguke hapa hapa jukwaani.
 
Kama wewe mtaalam wa Kiduku kuna wadau humu sio chini ya watatu (me inclusive) tunataka kujifunza.... Hongera bana kwa kujipa raha...

Usijali., we niPM tu kunijulisha venue.. Ila sijajua tutaanza class ya one by one or ndo utakuja na hao member wengine.( Just kujua tu ili kujiweka sawa kisaikolojia.., lolz)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom