Do You Remember?

Do You Remember?

Hamu ya kicheko hamna.... Mie siku zoote najua mimi na Sangara thou wa hiari.. yaani KAKANGU... Wee Sweet L kakako akifanya hivo kwenye calculator hata kama kaka wa hiari.... utakua na nguvu za kucheka.....lol

Lazima ucheke tu ndio maana majina yapo mengi...nataraji kwa score aliyopata Husninyo darasa litakuwa halijafutwa...
Kuna ishu nilikuuliza unisaidie hujanijibu bado..tafadhali hebu saidia ndugu yako.
 
Ha ha ha ha!! Ngoja tuanze na cha Bajaji, unafanya kama unataka kuchutama umenipata! Then mikono unanyoosha mbele kama unaendesha Bajaji, huku unahakikisha visigino vyako avigusi chini, unawasha Bajaji, yako unaondoka AshaDii. Ha ha ha! Kama nakuona vile, ukitaka kukata kona unalaza kichwa begani ha ha ha! kiduku cha Bajaji

Umenivunja mbavu.... Dah! inaelekea you are good at viduku eeeh?? lakini umenibania hapo umeeleze kimoja tu... hebu eleza na vingine before i choose....lol
 
Hamu ya kicheko hamna.... Mie siku zoote najua mimi na Sangara thou wa hiari.. yaani KAKANGU... Wee Sweet L kakako akifanya hivo kwenye calculator hata kama kaka wa hiari.... utakua na nguvu za kucheka.....lol
...lol... Lazima uishiwe nguvu Ad... Nakushauri endelea kumwatch na jicho la tano hivyo hivyo...
 
Tazama pale mwishoni utaeleza zaidi maana mie kila jina nikijaribu kuweka haizidi 30...

Ila niseme i am very flattered rafiki... ila tu shemejio hukagua post zooote, i hope hii ya Chit Chat hatapita... for akiona inamaana vile unanitembeleaga home kila weekend ndo inakufa hivo....lol

Lazima ucheke tu ndio maana majina yapo mengi...nataraji kwa score aliyopata Husninyo darasa litakuwa halijafutwa... Kuna ishu nilikuuliza unisaidie hujanijibu bado..tafadhali hebu saidia ndugu yako.

Ujumbe umefika... njia ambayo mie hupita ni ndefu saana (ipo crude) Hivo najaribu ile inayotakiwa kabisa... inanisumbua nataka nifanikiwe then ndo nikutumie... sori sikusema niko kushughulikia.....
 
Inawezekana maana nilishangaa natokea baharini...leo nita tripple check hizo coordinates...
Khaaah..!.. Baharini tena jamani?... Ndo matatizo ya kuelekezana njia usiku wa manane haya!... Uzichek mapema kabla giza halijaingia...
 
Khaaah..!.. Baharini tena jamani?... Ndo matatizo ya kuelekezana njia usiku wa manane haya!... Uzichek mapema kabla giza halijaingia...

Yaani hapa naziangalia mara mbili mbila na taa nimewasha japo ni mchana...lol
 
Ila niseme i am very flattered rafiki... ila tu shemejio hukagua post zooote, i hope hii ya Chit Chat hatapita... for akiona inamaana vile unanitembeleaga home kila weekend ndo inakufa hivo....lol

Ujumbe umefika... njia ambayo mie hupita ni ndefu saana (ipo crude) Hivo najaribu ile inayotakiwa kabisa... inanisumbua nataka nifanikiwe then ndo nikutumie... sori sikusema niko kushughulikia.....

Mh...mie naangalia na kusubiri...sasa jicho la tatu na tano yanaangaliaje...lol
 
Mh...mie naangalia na kusubiri...sasa jicho la tatu na tano yanaangaliaje...lol

ha ha ha.... Just wait and seee.... nakuonea huruma tu kwa Sweet L.... she is not as sweet as she pretends to be (hasa ukumuudhi....lol)
 
ha ha ha.... Just wait and seee.... nakuonea huruma tu kwa Sweet L.... she is not as sweet as she pretends to be (hasa ukumuudhi....lol)
hahahaha!.. Nimemwelekeza njia, usimtishe atarudia njiani...
 
nahisi kama napitwa vile! sweetlady na ashadii,kama sio kitun kibaya naomba mniunganishe kwenye muunganiko huu,lol
 
nahisi kama napitwa vile! sweetlady na ashadii,kama sio kitun kibaya naomba mniunganishe kwenye muunganiko huu,lol

Wee King... my best Wifi.... where have you been?? Hapa i feel like there something behind the scene kati ya Sweet L na Sangara... lol
 
Sweetlady kweli ndo ujanja wako.... Unafikiri sikuona wakati AJ kakupa wimbo wa kwenda kulalia.... Uknanisahau hadi mimi....

ADii ..why so pressure ... kwa kuwa ulipata dedication ..nafikiri ilikuwa inatosha Lol ... AND.. lines 2 tu za Puzo about deep Love .. I hope yodnt mind?
 
Wee King... my best Wifi.... where have you been?? Hapa i feel like there something behind the scene kati ya Sweet L na Sangara... lol

jamani AD yamekuwa hayo tena...hufai kuwa hakimu...
 
ADii ..why so pressure ... kwa kuwa ulipata dedication ..nafikiri ilikuwa inatosha Lol ... AND.. lines 2 tu za Puzo about deep Love .. I hope yodnt mind?

Naona unataka ku reverse meanings eeeh?? .... Haya yooote hayo nimesamehe....lol Ngoja nikupatie Puzo leo anasemaje:

"What is past is past. never go back. Not for excuses. Not for justification, not for happiness. You are what you are, the world is what it is."

Mario Puzo/God Father
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom