Do what you can do, but don't trust a woman

Do what you can do, but don't trust a woman

Vijana wa kiume siku hizi naona hawafundwi ipasavyo ndio maana kila siku kulia kulia tu sijui wanawake wamefanya nini sijui wakoje yaani mpk Mungu anajuta kuwafanya vichwa vya familia.

Umenivunja mbavu zote! teh teh teh teh! uuuuuiiiiiiii!
 
amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke. hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi

Format ubongo, hujui ulinenalo.
 
Vijana wa kiume siku hizi naona hawafundwi ipasavyo ndio maana kila siku kulia kulia tu sijui wanawake wamefanya nini sijui wakoje yaani mpk Mungu anajuta kuwafanya vichwa vya familia.

yaani umeongea hivyo nikakumbuka jana nilikuwa nazungumza na mzee mmoja akasema tunakoelekea wanawake watawaoa wanaume maana now wanaume wamekuwa kama wamerogwa, hawajitambui,kazi kulalamika tu,hawajitumi, na visingizio vya kipuuzi puuzi kama hizi.
 
yes, hadi mama. ni ushauri pia ni fact. kama we unamwamini, amin amin nakwambia cku moja atakuliza na hautaamini macho wala masikio yako. its approximately kwenye wanaume10, 9 walishawai kudanganywa na mwanamke. kama wewe hujadanganywa tegemea kudanganywa. japo kudanganywa kuna tofautiana
kwa upande wa kudanganya wanaume tunaongoza naona hapa wanawake unawasingizia.
 
Wa kwako ndo usiseme.

Ana moyo hasa!!

Tatizo nikisema hivo mnawaza na kutafsiri mnavyojua.
Nimesema mwanamke ana huruma si kama mnavyowaza,mfano mama anamhurumia mwanawe,baba anaweza kuwa na moyo mgumu lakini mama kwa mwanae ni tofauti,mi hata nikiwa mbali mama ndo wa kwanza kunijulia hali kuliko yeyote yule
 
Mama yako humuamini? Au yeye ni mwanaume? Acha habari za kwenye vijiwe. Kama humuamini mwanamke huyo ni wako. Usigeneralize kabisa.
Hayajakukuta juu ya mama yako. Siku yatakapo kukuta ndiyo utaamini kuwa mama yako kumbe ni mwanamke.
 
Unaweza ishi vipi na mtu usie mwamini?
Mimi naamini mtu hadi pale atapoonesha kutoaminika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom