Do what you can do, but don't trust a woman

Do what you can do, but don't trust a woman

Amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke.

Hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi.

jua kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha, kuna X na kuzidisha.
 
Nani kama mama???
hakuna kama mama nakubali. nawapenda sana wanawake (mama zetu) lakini siwaamini. kutowaamini haimaanishi sitambui na kuthamini mchango wao. nampenda sana mama angu, dada angu, shangazi angu, na demu wangu. lakini wote si waamin
 
Ndio maana wazungu wanalilia ndoa za jinsia moja kwa nini msianzishe kampeni na nyinyi mruhusiwe kuoana wenyewe kwa wenyewe muwaache wanawake wenyewe kama mnaona hawaaminiki.

Punguza hasira acha jazba....au na we mvua imekunyea....
 
then what?? akili zingine hata shetani akiona anatetemeka na kukana kuwa hii siyo kazi yake, eeeh Mungu turehemu.

then we move to the next lady willing to spread them legs
 
Punguza hasira acha jazba....au na we mvua imekunyea....

Jazba yangu ni nini hio ni alternative solution kama wanawake hawaaminiki why usitafute dume ukaishi nae kuliko kuletea visrani kina mama wenzenu ulaya wameanza naona hata sisi muda si mrefu tutaanza
 
hakuna kama mama nakubali. nawapenda sana wanawake (mama zetu) lakini siwaamini. kutowaamini haimaanishi sitambui na kuthamini mchango wao. nampenda sana mama angu, dada angu, shangazi angu, na demu wangu. lakini wote si waamin

Hahhahah!!!! Haya bhana but pia don't trust yourself too..
 
UKisema mwanamke sio wa kumwamin,maana yake mwanaume ndio wa kumwamini sio?Tuache kuishi kwa hisia jamani;topic za kulaumu jinsia nyingine si halali na ni dalili ya afya mbaya ya akili.Ebu jaribu kuoa au kuolewa na mtu wa jinsia yako uelewe nitacho sema.
 
Amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke.

Hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi.

Kaka, ni kweli kabisa, kwa asilimia 100.
 
hakuna kama mama nakubali. nawapenda sana wanawake (mama zetu) lakini siwaamini. kutowaamini haimaanishi sitambui na kuthamini mchango wao. nampenda sana mama angu, dada angu, shangazi angu, na demu wangu. lakini wote si waamin

Imeandikwa mwanamke ni kiumbe dhaifu, inakupasa uishi nae kwa akili.
 
Mkuu sijui nimeelewa vibaya hapo kwenye blue unamaanisha mtt wa Obama au? kama ndo hivyo utakuwa huna tofauti sana na mm maana mtt wa Will Smith Jud ananisumbua kweli anadai anaujauzito wangu wakata last time tulitumia zana...

Alichonifanya malia obama siwezi kusahau

yaani ananitangaza mimi nimempa mimba ??? nimeumia sana

ndio chanzo cha kutowaamini wasichana
 
hata vitabu vya mungu vimeandika ishi na mwanamke jwa akili
 
Ni huruma hizohizo ndo zinaendelea kumfanya mwanamke asiaminike,,
jamaa kamfumania mkewe analiwa na mlemavu,,
kumbana inakuwaje, mke anamwambia nilimuonea huruma na ulemavu wake alikuwa ananisumbua kila siku, nikampa nisamee ,,siludii tena
 
mh! iyo kali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom