Do what you can do, but don't trust a woman

Do what you can do, but don't trust a woman

amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke. hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi
je mama,dada na watoto wetu wa kike? kuna mtu alisema uwongo wa madume hautishi kama wa wanawake. kwa mfano; mwanaume atakataa hana mchepuko, lakini mwanamke atakubambikizia mtoto na utaelea japo anajua baba yake ni mtu mwingine. umeona tofauti ya uwongo hapo??
 
Ndio maana wazungu wanalilia ndoa za jinsia moja kwa nini msianzishe kampeni na nyinyi mruhusiwe kuoana wenyewe kwa wenyewe muwaache wanawake wenyewe kama mnaona hawaaminiki.

nimekupenda bure mama
 
Naomba kumsahihisha kdg mtoa mada, siyo mwanamke km mkeo, bali ni michepuko ndiyo ya kutoiamini, 2. Unapooa km hukumshirikisha Mungu akupe mke na hiyo ndoa itakua ni shiiida.
 
je mama,dada na watoto wetu wa kike? kuna mtu alisema uwongo wa madume hautishi kama wa wanawake. kwa mfano; mwanaume atakataa hana mchepuko, lakini mwanamke atakubambikizia mtoto na utaelea japo anajua baba yake ni mtu mwingine. umeona tofauti ya uwongo hapo??
kweli uongo wa wanawake balaa. ila ata michepuko kwa wanaume chanzo ni wanawake
 
Nasikitika kuona hata yule mama yako alikuzaa humuamini!!! Asee dunia imeisha
 
mwanamke ni hatari sana haaminiki wengne wanaenda mbali zaidi wanasema yawezekana kwa ndie aliyefanya maongezi na shetani kwa mara kwanza yaani ndo alikuwa wa kwanza kutenda dhambi
 
Nimeo hadi mke wa 9 wote hawaminiki! Mpaka nimekata tamaa
 
amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke. hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi

Huu ujumbe ni wa kweli ila unauma sana
 
Angalia movie za Ki nageria wanawake wote wame act uchawi na usaliti, jiulize ni kwanini? Angalia na bunge la Escrow uone wanaweke walichokua wanatetea jiulize ni kwanini?
 
I think the problem is not in sex type but on a person!!!
Kutokuaminika ama kuaminika ni tabia ya mtu, anaeza kuwa WA kiume au wa kike!!
Wema au ubaya haungalii jinsia ya mtu!!!
Ninachokiona hapa ni personal ATTITUDES, other things won't change if you can't first change yourself!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom