Do what you can do, but don't trust a woman

Do what you can do, but don't trust a woman

amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke. hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi

Kwa Upande Wangu Hata Kama Mwanamke atakuwa Na huruma Siwezi Kumwamini Kwani Huruma Zao Ni Za Kinafiki

Mungu alimwamini mwanamke ndo maana wewe umezaliwa na leo hii unasema eti huwaamini wanawake mama ako asingekuwa mwaminifu ungekuwepo hapa leo
 
hawa wanawake hawa wachoahi tu?? si muachane nao tu!!! oaneni ninyi kwa nyinyi mnaoaminiana..
 
Umeambiwa mwanamke na sio demu,kwanza unajua maana ya demu?
Mtoa Uzi Uko Right Kabisa Hawa Mademu Ni Pasua Kichwa Ukidata Nao Sana Unazikwa Siku Ambayo Haukutarajia Kwa Pressure Sio Watu Wa Kuwaamini 100%
 
I think the problem is not in sex type but on a person!!!
Kutokuaminika ama kuaminika ni tabia ya mtu, anaeza kuwa WA kiume au wa kike!!
Wema au ubaya haungalii jinsia ya mtu!!!
Ninachokiona hapa ni personal ATTITUDES, other things won't change if you can't first change yourself!!!

Changing someone whose negativity is on his/ her mind, you need to have a serious class😛🙄
 
haya sasa viroba vimezidi mnywaji naona unavyoandika matango pori tu hapa,ivi even your own mama humuamini,ingekua mwanamke haaminiki ungekua unaandika haya matango pori yako hapo. Tena mwombe mama yako msamaha shame on you! Nakumbuka ukifata nyuki ili ule asali waweza vimbishwa mdomo au ukala asali!
 
The same applies to MEN

Basi nikasoma vibaya eti the same applies to.me kumbe n nayo sikuiona lol watu wabaya hawa ndo hawa hawa wanaotanga na laana za mama zao usishangae hata hii ikawa.ni ile lana inamwandama
 
haya sasa viroba vimezidi mnywaji naona unavyoandika matango pori tu hapa,ivi even your own mama humuamini,ingekua mwanamke haaminiki ungekua unaandika haya matango pori yako hapo. Tena mwombe mama yako msamaha shame on you! Nakumbuka ukifata nyuki ili ule asali waweza vimbishwa mdomo au ukala asali!

Kuna mjinga kasema hapo juu kua hata mama yeye hamwamini nina waswas na akili zake
 
tizameni mnapoelekea! mjadili vitu vya msingi na haki! sio umekutana na mlupo ambiance au meeda kakuchanganyia khabari uje hapa u generalize wanawake wote kuna mtu kaulizwa hata mamio kasema ndio! jaman tuwape heshma zao tusiwafanye wajute kutuzaa,kuna mama alimwambia kijana wake ningejua ningekubana wakati wa kutoka.
 
amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke. hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi

Naona umetoa mawazo yajumla ambayo sisahihi katika binadamu mwaminifu mwanamke anaongoza hii nitafiti za kisayansi na halina ubishi pia utafiti umeonyesha mwanaume nikiumbe dhaifu kwa mwanamke hata akiwa na cheo au umbo la aina yoyote lazima alubunike nayuko tayari kufanya chochote atakacho elekezwa na mwanamke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom