Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,927
- 183,351
Na wao siku hizi wanawabadili kama nguo halafu mnashangaa wanawake wa siku hizi hawashikiki kumbe wanarithi kwa baba zao. Kwa dunia ilivyoharibika kwa sasa usifikiri unakomesha mtu bali unajikomesha mwenyewe
alafu wakifuata tabia za baba zao wanawalaumu wanawake, hahahaaaa, mlidhani mtaokota dodo chini ya mfenesi eeeh???