Do what you can do, but don't trust a woman

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,357
2,000
Tatizo nikisema hivo mnawaza na kutafsiri mnavyojua.
Nimesema mwanamke ana huruma si kama mnavyowaza,mfano mama anamhurumia mwanawe,baba anaweza kuwa na moyo mgumu lakini mama kwa mwanae ni tofauti,mi hata nikiwa mbali mama ndo wa kwanza kunijulia hali kuliko yeyote yule

Nasema na nasisitiza mkeo ana moyo.
 

Mocrana

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
536
250
Nasikitika kuona hata yule mama yako alikuzaa humuamini!!! Asee dunia imeisha
umeona eeeh, yaani hadi mama yako mzazi? sijui inawezekana yeye mama yake alivyomzaa akamtupa ndo mana, MAMA atabaki kuwa mama tu, hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia anayovumilia mwanamke, kwasababu wewe ni mwanaume hutakaa ujue.
 

maloloi

New Member
Jul 28, 2014
3
0
Mkiwa mnawasema wanawake muwe mmejichunguza kwanza nyie wanaume ndo wasaliti wakubwa halafu ooo usimwamini mwanamke nyooo
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,321
2,000
Women......women.......women........women..........women........women........

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
250
napita tu lakini ngoja niseme kitu; narecall EVA, DELILA, MKE WA KWANZA WA MANDELA(jina kapuni), LULU( ha ha ha), BETY (DECEPTION). Mtoa mada atakuwa na fact, kwanini nasema hivyo? movie zote huact real life. asilimia90% ya movie nilizotazama, mwanamke amechorwa kama msaliti na mdanganyifu, kwamantiki hiyo asilimia90% ya wanawake ni wadanganyifu na wasaliti. 10% ndo waaminifu na ndo wake wazuri, ukiwapata shukuru Mungu. kama wewe si mdanganyifu na msaliti basi ni miongoni mwa iyo 10%. wadada msimshambulie mtoa mada. NAPITA TU LAKINI, ILA TOPIC IMENIGUSA NA KUNIVUTIA. Mtoa mada indeed you are a great thinker and you will always be.
 

wabuyaga

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,683
1,225
Hapa tofautisha mama yako na mke wako! Sahii labda ingekuwa usimwamini mke wako/mpenzi wako! Kuhusu hii bado kuna kitu hakijaeleweka hapa! Je mwanamke akisema usimwamini mume wako/mpenzi wako utasemaje? Mimi ninaona labda wengine wanaleta thread ili kuongeza idadi ya michango yao ktk JF, ila cha muhimu ni kuleta thread yenye kuwa na mantiki ili isaidie ktk changamoto za kijamii! Hebu tuseme ukweli ni mke / mpenzi gani ambaye hachepuki? Au ni mume/mpenzi gani ambaye hachepuki? Kuiweka precisely ni kuwa karibi 80% ya kina mama wanachepuka na 95.5% ya akina baba wanachepuka! Kazi kwako
 

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,318
0
Alichonifanya malia obama siwezi kusahau

yaani ananitangaza mimi nimempa mimba ??? nimeumia sana

ndio chanzo cha kutowaamini wasichana
 

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
3,484
2,000
Vijana wa kiume siku hizi naona hawafundwi ipasavyo ndio maana kila siku kulia kulia tu sijui wanawake wamefanya nini sijui wakoje yaani mpk Mungu anajuta kuwafanya vichwa vya familia.

Unadhani Mungu ndiyo amewafanya hivyo? ni wenyewe tu na miguvu yao. Mungu amegawa akili sawasawa kwa ke na me, ila ke wamechelewa kutumia fursa hiyo.
 

lipwid

Senior Member
Aug 7, 2014
108
0
Napenda kuchangia ..kidogo..

1. Mtoa mada amesema jambo la kweli kabisa.
2.Mama anaweza asiaminike pia kigezo cha kutuzaa hakina hoja nzito maana hata kama alichepuka hana alternative zaidi ya kuzaa..sasa huo sio ujasiri ni matter of nature.

MWISHO...wanawake ndio mwanzo na mwisho wa maisha ya mwanadam..ili uzaliwe unahitaji mwanamke na ili ufe pia jihusishe na mwanamke
 

jakackseru

Senior Member
Mar 15, 2014
132
195
Naunga mkono hoja 100% kwa 100% maana hapa nilipo nimelizwa namtu ambaye nilimuamini sana katika maisha yangu lakini alichokifanya siwezi kukiandika hapa jukwaani ila naweza weka namba yamtu aliyeniumiza naye endapo mod watanipa ruhusa. Huyu mtu nishamuonya maranyingi sana
 

Hany

JF-Expert Member
Apr 2, 2014
432
250
Nyie jishauweni tu,Hao mnaowaita wake ndio wamewazaa nyie,wamewalea nyie,wamepitia magumu kwakuhakikisha mko salama,wengine mlikimbiwa na baba zenu,mkalelewa na hao wanawake ,na wengine mlikataliwa na baba zenu mkalelewa na wanawake,kifupi wanaume ndio hawafai kuaminiwa, niishie hapo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom