Do what you can do, but don't trust a woman

Do what you can do, but don't trust a woman

Na wanawake walioumizwa na kujiua kisa wanaume nao wanasema wanaume si wakuaminiwa.
 
Ndio maana wazungu wanalilia ndoa za jinsia moja kwa nini msianzishe kampeni na nyinyi mruhusiwe kuoana wenyewe kwa wenyewe muwaache wanawake wenyewe kama mnaona hawaaminiki.

Mmhh! bibi.com kumbe huko hivyo? kwa taarifa yako mimi sikuachi ng'o!!
 
Hata maandiko yanasema mwanamke unatakiwa uishi nae kwa akili
 
Mmhh! bibi.com kumbe huko hivyo? kwa taarifa yako mimi sikuachi ng'o!!

Vijana wa kiume siku hizi naona hawafundwi ipasavyo ndio maana kila siku kulia kulia tu sijui wanawake wamefanya nini sijui wakoje yaani mpk Mungu anajuta kuwafanya vichwa vya familia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom