amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke. hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi
running away from a problem is not a way of solving it. naamini unajua jitihada tunazozifanya kucope na ili tatizoNdio maana wazungu wanalilia ndoa za jinsia moja kwa nini msianzishe kampeni na nyinyi mruhusiwe kuoana wenyewe kwa wenyewe muwaache wanawake wenyewe kama mnaona hawaaminiki.
Ndio maana wazungu wanalilia ndoa za jinsia moja kwa nini msianzishe kampeni na nyinyi mruhusiwe kuoana wenyewe kwa wenyewe muwaache wanawake wenyewe kama mnaona hawaaminiki.
exactly. mwanaume ndo wa kumwamini.mwanaume ndo wa kumwamini???
yes, hadi mama. ni ushauri pia ni fact. kama we unamwamini, amin amin nakwambia cku moja atakuliza na hautaamini macho wala masikio yako. its approximately kwenye wanaume10, 9 walishawai kudanganywa na mwanamke. kama wewe hujadanganywa tegemea kudanganywa. japo kudanganywa kuna tofautianaMama yako humuamini? Au yeye ni mwanaume?
Acha habari za kwenye vijiwe.
Kama humuamini mwanamke huyo ni wako. Usigeneralize kabisa.
something trueKwa Upande Wangu Hata Kama Mwanamke atakuwa Na huruma Siwezi Kumwamini Kwani Huruma Zao Ni Za Kinafiki
yah, jino kwa jinoHalafu hujakaa nae unakwenda kanisani na kufunga pingu za maisha na unaahidi kuwa mtatenganishwa na kifo. Mi hilo sitaliweza. Tutakaa na ukionyesha hali ya kutoaminika nami nabadili uelekeo.
exactly. mwanaume ndo wa kumwamini.
yamekuwa hayo!mafi ya bata....
mbadilike ili turudishe imanmsipotuamini then what next???