DMO Iramba aikashifu serikali ya Magufuli mbele ya Jafo

DMO Iramba aikashifu serikali ya Magufuli mbele ya Jafo

Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.MY TAKE: DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
Hakuna kazi ngumu na yakijinga kama kuuficha ukweli unao kutafuna mwenyewe.haki yenye heshima ni ile unayo pewa ukiwa unavuja damu,kuutetea uongo ni sawa na kujitwisha furushi la kinyesi lisipo kushinda kwa uzito wake kwa hakika kwa harufu yake litakushinda.
 
Makada Hii Habari Ya DMO Imewachomaaa Kama Pasi
 
Hongera yake DMO kusema kweli, na ameonyesha asivyo kuwa mwanasiasa ila ni daktari hatutaki madaktari wanaomezwa na siasa. Kuna jambo lakushangaza kwanini watumishi hawatoshi wakati madaktari na wauguzi wangazi zote waliohitimu mwaka jana na mwaka huu wapo tu mitaani tunakula nao ugali na mchicha, dawa tunanunua na foleni ndefu kumuona daktari. Tumuache tu DMO aseme changamoto zinazoikabili iramba
 
Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.MY TAKE: DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
Duu wewe punguani
 
Nimekimbilia kusoma post nikidhani DMO kakashifu. Hapa Najifunza kitu kimoja tu, kwamba watz tunapenda kuishi kwa kutosema kweli. Sijaona kosa la daktari hapo. Tunajenga taifa la waoga wa kupindukia. Hongera DMO you have played your role.

Mkuu jifunze kuelewa mafumbo,
Nchi hii kwa sasa inaenda kwa namna hii
 
Yaan kwenye huu uzi ndio sehem ya kuchambua iQ za watz. Yaan wameshindwa kabisa nini lengo la mleta habar, daa Tz yangu. Mleta mada kaweka kichwa kama kile sababu katika serikali hii ukiisema ukweli serikali ya JPM unawekwa ndani. Na ndio maana anasema ni uchochozi. Mbona yule mtangazaji aliwaambia chakula hamna mkamtia ndani??

Hapa kaongea kwa fumbo kuwasimanga !!!
 
Embu tuwe wakweli, ni lini dawa zilikuwaga zinapatikana mahospitalini ?????
 
Huyu DMO kasema ukweli tupu na anafaa kuwa kiongozi ssa kama ulitaka apambe maneno ili mwanaharamu apite basi hutufai na huo uoga wako na ukome kwa unafiki!
 
Algezira Tanzania yakumbwa na uhaba wa dawa, Umi mwalimu hatuna uhaba wa dawa zimejaa tele, makamu wa raisi tuna uhaba wa dawa wa muda mfupi... DMO hospitali hazina dawa...
 
atakuwa na cheti feki huyo,serikali tukufu imenunua mapangashaa yeye analeta siasa eti madawa..!!Tanzania zaidi ya ujuavyo pale chato idadi kubwa ya wakazi hawa vyoo wala huduma ya maji safi na salama lakini kunamakakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege wa mabilioni achilia mbali ufungwaji wa taa za kuongozea magari ambao kwa uhalisia ni matumizi mabaya ya madaraka na ofisi ya umma
 
Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.MY TAKE: DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
sasa aseme dawa zipo za kutosha wakat hamna! DMO angesema uongo Kumbuka hii serikali yenyewe itarud baada ya wiki kw kushtukiza ndipo DMO anakiona chamoto atakavojibu eti hajapokea fedha za dawa
 
Hatutachelea kusikia babu wa Loliondo kaanza tiba. Watu mtashabikia kikombe kama mbadala wa dawa za msd.
 
Back
Top Bottom