Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Amejitambua huyo na kukata minyororo ya utumwaAkiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.MY TAKE: DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa