Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Eeeh!DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
Eeeh!DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
Ww mbumbu kweliKusema ukweli ndani ya ccm unaweza poteza kazi, cha muhimu ni kufanya yale unayoona yana faida kwako
au kama vipi waende kwa mzee wa upako, sasaiv ni ndege kwanza maana fedha ipoTunahangaikia ndege kwanza kwasasa tunataka kuleta zingine mbili kali,wananchi mjizuie kuumwaumwa. Mkipata ugumu watumieni waganga wa jadi au kunyweni miarobaini na alovera! Asanteni kwa kuniskiliza.
aliyekuambia hii awamu ni ya ukweli ni nani?Kusema ukweli ni uchochez????,mi napita tu ila nmejifunza jambo
Hawapend kusikia kilichopo ila wanapenda kuona yajayo tu!!!!Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!
DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.
Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.
Hii ni kuikashifu serikali ya JPM ambayo imefunja rekodi Afrika Mashariki na kati ya kukusanya mapato kiasi cha kununua ndege mbili kwa mpigo kwa keshi.
Hapo ameikashifu wapi. Hebu jiongeze kidogo!Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.MY TAKE: DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
Mpumbavu babaa' ko.We sio kenge bali Mpumbuvu...
Babaake si ndio aliyeshindwa kumlea?Hivi hapo babake katokea wapi tena?mbona mnaleta mambo ya fb?
Nimeamini ukiumwa magonjwa mtambuka ni janga la ubongoBabaake si ndio aliyeshindwa kumlea?
Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!
DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya, pia uhaba wa watumishi. Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.
MY TAKE:
DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
Tuukimbize huu uzi ili Lowasa apae?Nimeamini ukiumwa magonjwa mtambuka ni janga la ubongo