Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,751
Mahitaji ya dawa na vifaa tiba kwa watanzania kwa siku moja gharama yake ni zaidi ya maradufu ya bei ya hizo ndege. Na ni kwa siku moja tu. Ni karibu na gharama ya kulisha chakula watanzania. Ni kitu ambacho hakiwezekani. Ni jukumu la kila mwananchi kujinunulia mwenyewe huduma hizo badala ya kutegemea kuletewa na serikali. Maduka binafsi ya dawa hayajawahi kuishiwa dawa. Sasa kelele za nini?Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.Hii ni kuikashifu serikali ya JPM ambayo imefunja rekodi Afrika mashariki na kati ya kukusanya mapato kiasi cha kununua ndege mbili kwa mpigo kwa keshi.