Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,218
- 138,646
Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!
DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya, pia uhaba wa watumishi. Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.
MY TAKE:
DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa