Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,744
Sasa waziri anafanyaje ziara bila dondoo,Huo ni ukweli sio kashifa, kichwa cha habari yako kilitakiwa kuwa DMO Iramba aelezea changamoto zilizopo wilayani kwake
Sasa waziri anafanyaje ziara bila dondoo,Huo ni ukweli sio kashifa, kichwa cha habari yako kilitakiwa kuwa DMO Iramba aelezea changamoto zilizopo wilayani kwake
Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!
DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.
Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.
Hii ni kuikashifu serikali ya JPM ambayo imefunja rekodi Afrika Mashariki na kati ya kukusanya mapato kiasi cha kununua ndege mbili kwa mpigo kwa keshi.
Hilo ni kosa, yeye siyo katibu mkuu wa wizara. Hata Seleman Jafo yeye anatafuta kick tuAkiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.MY TAKE: DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
mkuu jaribu kunisoma katikati ya mstari utanielewa tu,poor you mtoa mada
Malofa MTU anaeleza ukweli wao eti aikashifu ,
mkuu jaribu kunisoma katikati ya mstari utanielewa tu,
Haha hahasasa nyie maCCM kama dawa hakuna unataka akae kimya watu wafe?
Nimepitia huu uzi zaidi ya mara 25 sijaona sehemu yeyote DMO aliapotoa kashfa.Akiongea mbele ya Naibu Waziri Selemani Jafo,Mganga Mkuu wa Iramba ametoa taarifa kuwa hawajapokea fedha za Madawa toka July 2016!!DMO alijikita zaidi kuonyesha uhaba wa pesa za dawa na motisha kwa watumishi wa afya,pia uhaba wa watumishi.Amesema serikali ijitahidi kuleta pesa kwa wakati ili kuwezesha huduma.MY TAKE: DMO atambue serekale makini ya CCM haijaleta magonjwa
Sasa,Kama ni Hivyo,Kuna Faida Gani ya Watanzania Kulipa Kodi?Mahitaji ya dawa na vifaa tiba kwa watanzania kwa siku moja gharama yake ni zaidi ya maradufu ya bei ya hizo ndege. Na ni kwa siku moja tu. Ni karibu na gharama ya kulisha chakula watanzania. Ni kitu ambacho hakiwezekani. Ni jukumu la kila mwananchi kujinunulia mwenyewe huduma hizo badala ya kutegemea kuletewa na serikali. Maduka binafsi ya dawa hayajawahi kuishiwa dawa. Sasa kelele za nini?
Mkuu,mtoa mada ametumia tafsida!ameandika kinyume!Nimepitia huu uzi zaidi ya mara 25 sijaona sehemu yeyote DMO aliapotoa kashfa.
Kwa nini unahangaika na mipasho namna hii hata mke wako akikusoma atakudharau sana.
Hivi unajua maana ya kashfa?
Kenge babaa'ko.