Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,911
Ndio lugha ambayo aliyeziba masikio ataisikia na aliyeamua kukaa kimya ataongea, halafu mkuu kazi tunafanya ndio maana hao watawala wetu wanaishi maisha ya kifahari na kulipana mishahara na miposho kwa kodi zetu.Ungehamia tu huko ukaandamane mpaka uchoke. Kosoa lakini sio kwa lugha ya kukashifu. Sasa tukianza kuandamana kama wanaharakati halafu kesho wengine wakitaka kuandamana na wengine mwisho wa siku tutakuwa kama bonanza mitaani. Fanyeni kazi, sasa tutaona hiyo siku atakayotoka kuandamana ndio ataita maje mmaaaaa.
Kama lugha za kashfa na matusi ndio zinawafanya mtusikilize basi tutaendelea kufanya hivyo ili ujumbe upenye kwa waliyoziba masikio na kutotaka kuongea.
Sijui kwanini mnaangalia wenye kutukana hao watawala tu ila hamuangalii imekuaje hadi inafikia watu kuwatukana hao watawala, nchi hii watanzania tunaonekana wapumbavu tunapelekwa kama mang'ombe kwa kigezo cha Amani, hao watawala kwa wanayoyafanya naanzaje kujilazimisha kuwaheshimu wakati wao wenyewe hata kujiheshimu hawajui ni nini.