All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,402
Sasa hutaki akipate??Slaa atakipata anachotafuta
Sasa hutaki akipate??Slaa atakipata anachotafuta
Usalama kama usalamaUsalama wa taifa, tafuteni mtu anaewapa ugari hawa watu, wanashiba hadi wanavimbiwa.
Aambiwe kama anahela nyingi basi akafanyie shughli zingine, la sivyo asije akalalamika baadae. Apewe onyo kali.
Basi poa mkuu acha sie tusiowachague tuwakashifu na kuwatukana hao viongozi maana sisi sio tuliyowachague hivyo nao watuvumilie tu na nyie mliyowachagua endeleeni kuwasifia.Viongozi waliochaguliwa na watu waliowaamini, wengine mliochagua upande wa pili hamna budi kwenda na flow tu ya CCM, mjiandae na next election ndio mkishinda mtaingiza sera zenu na CCM itabidi wawavumilie tu. Mkishindwa tena hakuna budi mvumile, wakati wa kuwajibisha viongozi ni wakati wa uchaguzi tu, wakipita wana haki ya kutekeleza waliyosema kwenye sera zao. Kukubaliana au kutokubaliana inakuwa sio issue tena.
Maadili ya wapi hali ya kuwa dini zote hizizimetoka kwao, mifumo ya kiuongozi ni wao, demokrasia tumetoa kwao na wao wanatuonyesha nini maana ya demokrasia, sasa hayo maadili unayozungumzia sijui ni yapi.Tanzania sio Marekani Kila Nchi Ina maadili yake
Inategemea unamwambia nani?
Kwani Slaa kakosea?Naandika Rashda binti Zunde✍️
Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".
Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?
Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.
Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.
#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.
Sasa Samia hataki ushauri kwa mambo asiyoyajua kwanini asiitwe MPUMBAVU? Mtu yeyote asiyejua maana ya mpumbavu ndio atatafsiri kuwa hilo neno ni tusi!! Machawa mna kazi kweli kweli!Upumbavu sio tusi..
Bi. Tozo ni mtu wa kawaida kama sisi ukitoa huo urais.
Sisi ndio waajiri wake lazima akosolewe mambo yakienda mrama.
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Ndiyo.Mkuu, unaweza kumwambia baba yako mdogo, shangazi, au mama mkubwa. aache upumbavu, hata kama katereza mahara fulani?
Na katika maisha yako ulishawahi kufanya hivyo?
Jibuni hoja kwanini mnadhani mama Abdul anajua kila kitu hivyo sio MPUMBAVU badala ya kutoa povu lenu bure nyie MACHAWA na kuwatishia WATANGANYIKA! Mnatuibia hela za kodi zetu huku Tanaganyika kwenda kujega kwenu KIZIMKAZI kushindana na marehemu Magufuli!!Slaa atakipata anachotafuta
Usalam wa taifa ndio Mungu wako..baada ya kushindwa hoja eti usalama!! idiotUsalama wa taifa, tafuteni mtu anaewapa ugari hawa watu, wanashiba hadi wanavimbiwa.
Aambiwe kama anahela nyingi basi akafanyie shughli zingine, la sivyo asije akalalamika baadae. Apewe onyo kali.
Mchana uliuona?Jibuni hoja kwanini mnadhani mama Abdul anajua kila kitu hivyo sio MPUMBAVU badala ya kutoa povu lenu bure nyie MACHAWA na kuwatishia WATANGANYIKA! Mnatuibia hela za kodi zetu huku Tanaganyika kwenda kujega kwenu KIZIMKAZI kushindana na marehemu Magufuli!!
Na usiku pia niliuona nyie machawa!🤣🤣Mchana uliuona?
Nadhani Slaa alikuwa na uchungu wa kuswekwa MlupangoNoma sana!
Sasa kwanini uliandika kama mtu mwenye njaa kali?Na usiku pia niliuona nyie machawa!🤣🤣
Hayo ni mawazo ya mtu uliyevimbiwa kuona wengine wana njaa!! Kumbuka mnavimbiwa kutokana na ufisadi ; siku inakuja mtakuja kulipa!Sasa kwanini uliandika kama mtu mwenye njaa kali?